Hiki kidude kinaitwaje na kinachezwa vipi?

Rubik cube! Ni mchezo mgumu sana (ulibuniwa na professor Rubik) na kina principles zake kwenye kumatch same color katika kila upande...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ma genius wapo wanakipanga ndani ya dakika moja huku wakiwa wamefungwa macho!!!!!
Wana kariri njia wanazopita mpaka sana maliza then wanafungwa macho then wanapita mule mule ndani ya muda mfupi sana kama dakika moja!!
 
Ngoja siku ujisahau upite nacho kwa mzee lyimo,tutaanza kupitishiwa michango ya harusi kwamba mzee lymo anaoa
 
Kinaitwa kimagic cube,kilinitoa jasho mtu mzima, akaja dogo yupo std 1 akamatch colors faster yaani.ila ni mchezo mzuri hasa kwa watoto unamjengea uwezo wa kufikiria.

Rudisha hicho kidude cha mtoto, kasahau kidogo tu jamaa umepita nacho dah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo Kawe beach hapa kwenye Ngalawa nikufundishe kukipanga ukishindwa adhabu yako kuogelea mita 100 kwenda na kurudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…