Hiki kidude kinaitwaje na kinachezwa vipi?

Kuna ma genius wapo wanakipanga ndani ya dakika moja huku wakiwa wamefungwa macho!!!!!
Wana kariri njia wanazopita mpaka sana maliza then wanafungwa macho then wanapita mule mule ndani ya muda mfupi sana kama dakika moja!!
Kuna jama anakikamilisha kukipanga huna ana freestyle tena huku anapewa natopic huku anazielezea unaeza matafuta Anaitwa "logic"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wadau walivyosema kinaitwa Rubik's cube.

Principle:
3x3

Right[emoji117]Up[emoji117]Forward
Left[emoji117]Down[emoji117]Backward

Cheki youtube kuna hints za kutosha




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga shoka kiparanganyike panga upya mbona simple sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…