Hiki kidude kinaitwaje na kinachezwa vipi?

Hiki kidude kinaitwaje na kinachezwa vipi?

Kuna ma genius wapo wanakipanga ndani ya dakika moja huku wakiwa wamefungwa macho!!!!!
Wana kariri njia wanazopita mpaka sana maliza then wanafungwa macho then wanapita mule mule ndani ya muda mfupi sana kama dakika moja!!
Kuna jama anakikamilisha kukipanga huna ana freestyle tena huku anapewa natopic huku anazielezea unaeza matafuta Anaitwa "logic"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wadau walivyosema kinaitwa Rubik's cube.

Principle:
3x3

Right[emoji117]Up[emoji117]Forward
Left[emoji117]Down[emoji117]Backward

Cheki youtube kuna hints za kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niaje mazee kutokana na upweke nilionao tangu niachwe na mtoto mzuri Shani.

Pita pita zangu nikakuta hiki kidude kibarazani kwa Mzee Limo hapa Kawe nikapita nacho sasa nashindwa jinsi ya kupanga hivyo virangi.

Anaejua jinsi ya kucheza anipe mautundu.

View attachment 1300601

Sent using Jamii Forums mobile app
Zungusha ili rangi zipangike..

Nimepanga Mara nyingi sanaa..

#YNWA
1577417610905.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga shoka kiparanganyike panga upya mbona simple sana

Back
Top Bottom