mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ichi sio cha watt dada alfu kwan we unaish kaweRudisha kidude cha mwanangu sijatupa mtoto alikisahau barazani.
nakubaliana na ww mzee Allen ngoja nijaribu hyo mbinumiongoni mwa magwiji wa mchezo huo alisema njia rahisi ya kucheza ni kuzipa hizo rangi namba ama herufi. Kwa mfano unaweza kuipa rangi ya Njano herufi "Y" kuwakilisha neno "Yellow" Herufi "R" kuwakilisha neno "Red" rangi nyekundu, Herufi "B" kuwakilisha neno "Blue" rangi ya bluu na herufi "W" kuwasilisha neno "White" rangi nyeupe.
Kila upande una sehemu 9. Kwa ivo kwa kujua huo mfuatano utajua ni wapi rangi gani inatakiwa kupelekwa. Huo mchezo unahusisha kasi ya mikono na umakini wa akili.
uyo mtu au mkaaView attachment 1300614
Wakuu na Mimi nimemuokota huyu kimwana,anaejua jinsi ya kumchezea anipe mautundu[emoji12][emoji12][emoji12]
Michezo ya akili hufumbuliwa kwa kutumia akili,ilazimishe akili yako itatuwe ukishindwa warudishie wenyewe wakakuelekeze[emoji12][emoji12]
Jambo la msingi ni wewe kurudisha mahali pale nilimnunulia mtoto kwa ajili ya kuchezea
HawachiJambo la msingi ni wewe kurudisha mahali pale nilimnunulia mtoto kwa ajili ya kuchezea
Wee kuwa na adabu hii rangi adimu na naipenda wanavutia Sana!!!
Amesema amepita na cha mzee limo kama ni ww mwizi wako hapo juu kajitajaAisee kitu kizuri sana hicho unazingusha kupanga hizo rangi kinakula akili sana hicho. Changu kilipotea nakitamani sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Vidude vya ma freemason hivyo. Kaa navyo mbaliN aje mazee kutokana na upweke nilionao tangu niachwe na mtt mzuri Shani,,,
pita pita zangu nikakuta hichi kidude kibarazani kwa mzee limo hapa Kawe nikapita nacho sasa nashindwa jins ya kupanga hivyo virangi
anaejua jins ya kucheza anipe mautunduView attachment 1300601
Sent using Jamii Forums mobile app
kupita nacho ndo kuibaAmesema amepita na cha mzee limo kama ni ww mwizi wako hapo juu kajitaja
Sent using Jamii Forums mobile app
napenda sana kuwa freemasonVidude vya ma freemason hivyo. Kaa navyo mbali
Mara kadhaa ndio
[emoji23][emoji23][emoji23]Rudisha kidude cha mwanangu sijatupa mtoto alikisahau barazani.
We ni muongo. Huko juu umesema umeachwa ndio unapoteza mawazo tena imekuwaje mnashindana na mpenzi wako? [emoji15]izo principal ndo nazitaka mkuu nipo nashindana na manz wangu hapa kucheza so nataka anione mwamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaanza na nani kumtoa sadaka ?