MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Ukizingatia gharama ya kifaru na zaidi gharama ya kufiksha hicho kifaru Ukrane halafu kinaondoshwa na kombora moja tu inayorushwa kwa kifaa kinachobebwa begani, hivi vifaa vipo vingi na ikiwezekana vitagawiwa hata kwa wakulima na akina yakhee mitaani, ili kifaru kikipita kinaliwa shaba.