Hiki kifaa cha NLAW kimekuwa mateso kwa vifaru vya Warusi

Kinachoshangaza kwa Nyie Team Ukraine hamsemi Ukweli...Kifaru kinapigwa lakini mnajisahau tena mnasema Ooh wako Km 25 kuteka Kyiv sasa kama mnawapiga wanasogeaje tena mbele??

Hebu ona vifaru vinavyoliwa shaba, hatari sana...

Jamani naomba kufahamu kwa siku mrusi anatumia ghalama kiasi gani kupambana na ukrain na bei ya kifaru kimoja ni sh. Ngapi
Na hizo ghalama atazirudishaje kama akishindwa vita. Au akishinda vita.

Anaiingia hasara kubwa sana nje na nyumbani pia maana kule uchumi unaendelea kuzorota, vita ni gharama kubwa, ikumbukwe pia ndege zimedunguliwa. Halafu Putin atapoteza sana soko la silaha maana ameonyesha udhaifu mkubwa.

Wanajeshi wake wameanza kuteseka njaa

Ukizingatia gharama ya kifaru na zaidi gharama ya kufiksha hicho kifaru Ukrane halafu kinaondoshwa na kombora moja tu inayorushwa kwa kifaa kinachobebwa begani, hivi vifaa vipo vingi na ikiwezekana vitagawiwa hata kwa wakulima na akina yakhee mitaani, ili kifaru kikipita kinaliwa shaba.

Sasa kwanini wasivilipue huko mpakani wanasubiri hadi vinaingia mjini na kufanya uharibifu wa majengo yao mazuri mazuri
 
Huo ni mkakati wa kivita, ni wazi Urusi ana nguvu kubwa, Ukraine hawezi kupambana naye uso kwa uso, unamuacha aingie ndani kabisa mpaka pale amechoka na kuhema na kuanza kuhangaika hana mafuta na chakula ndio unaanza kumla shaba kwa pembeni, ubavuni.
Pia angalia hizo video hawapigi kifaru cha mwanzo, wanasubiri vipite kadhaa halafu wanashambulia vya katikati, hiyo inasababisha vipoteane maana walioko mbele wanaskia wenzao nyuma wanalia kwa kipigo, wanachanganyikiwa hawajui warudi nyuma au wasonge mbele.
 
Ukraine imevamia nchi gani?

Mbona hao mashoga hamvamii nchi zao?

Jaribuni Invasion USA na siyo ile filamu ya Chuck Norris.
Mbona cuba pale kamasi zilimtoka......cha ukraine ndo kama kilekile cha cuba mashoga watulie tu
 
Huo ni mkakati wa kivita, ni wazi Urusi ana nguvu kubwa, Ukraine hawezi kupambana naye uso kwa uso, unamuacha aingie ndani kabisa mpaka pale amechoka na kuhema na kuanza kuhangaika hana mafuta na chakula ndio unaanza kumla shaba kwa pembeni, ubavuni.
Pia angalia hizo video hawapigi kifaru cha mwanzo, wanasubiri vipite kadhaa halafu wanashambulia vya katikati, hiyo inasababisha vipoteane maana walioko mbele wanaskia wenzao nyuma wanalia kwa kipigo, wanachanganyikiwa hawajui warudi nyuma au wasonge mbele.
Watu wanabeba maeneo huko we unabwabwa na tuvifaru.......vita casualties lazima na mjeshi kifo ni kama kunywa maji tu.....sio kama wale mashoga wanaoogopa kuchapika wanatoa wenzao chambo

Wanaume wanazidi kuibeba nchi

Huo ni mkakati wa kivita, ni wazi Urusi ana nguvu kubwa, Ukraine hawezi kupambana naye uso kwa uso, unamuacha aingie ndani kabisa mpaka pale amechoka na kuhema na kuanza kuhangaika hana mafuta na chakula ndio unaanza kumla shaba kwa pembeni, ubavuni.
Pia angalia hizo video hawapigi kifaru cha mwanzo, wanasubiri vipite kadhaa halafu wanashambulia vya katikati, hiyo inasababisha vipoteane maana walioko mbele wanaskia wenzao nyuma wanalia kwa kipigo, wanachanganyikiwa hawajui warudi nyuma au wasonge mbele.
Mkakati wakati wameishiwa mbinu.......kwa sasa kinachowaokoa ni kujificha tu kwa raia wakijua mrusi hawezi shambulia raia na wao ndo wanafanya hizo ambush zao...........ndo maana wanaleta figisu raia wasiokolewe maana ndo ngao zao.....wakitoka raia ndani ya sekunde tu mrusi anawafagia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] comments
Kakifaaa kamewachanganya [emoji38][emoji38][emoji38]

Hichi kifaa ni ukweli mtupu teknolojia alio itumia mmarekani hapo ni ya Hali ya juu Sana .

Yaani hicho kifaa ni spesho kwa ajiri ya vifaru tu. Na hicho shabaha yake hata mlevi analenga na akisha fyatua chenyewe ndio kinaanza kukitafuta kifaru kipo wapi.

Na Cha ajabu zaidi yaani mpigo mmoja tu kifaru kinachanika hovyo hovyo na kupotea kabisa ramani yake. Na hicho ndicho myukren anajivunia.

Na kimekua sumu kwa putin na kinasambaratisha hovyohovyo majeshi ya urusi ....hatukatai ukrein nao wanapigwa Ila ukiwianisha urusi ndio anachakazwa zaidi kwa sababu mrusi ndani ya wiki moja kapoteza wanajeshi Zaid ya elfu kumi Hadi nae imefikia hatua anaomba watu kutoka mataifa mengine awape uraia bure ili wakapigane.

Wanao bisha kwamba mrusi hapigwi hwana akili na hawafuatilii mambo sawa wewe ni baunsa ndio upigane huku umefungwa kamba na mtu ambaye Hana kamba ....? Hizi ngumi unashindaje....? Hata Kama unagombana na mtu ambaye Hana Mikono.

Mmarekani anasilaha nyingi na nzito sema ndio hivyo kazifucha moja ya silaha ambayo ni mpya ulimwenguni ni hicho kifaa kwa ajiri ya vifaru.

Na hapa mrusi hayo makombora ya nukes anayo yategemea mwenzie mmarekani Alisha kuwa nayo miaka 70 ilio pita na aliyajaribia Japan na tangu hapo hajawahi Tena kufanya majaribio ya hayo madude kwa sababu anayafahamu. Sasa wewe fikiri tangu miaka hiyo Hadi Leo atakua ameyaboresha kiasi gani.....? Na hao wakina kiduku na putin wao wameyapata juzi tu kelele nyiingi na kuhatarisha usala wa dunia. Mbona mwenzao anayo kitambo tu Wala hafanyi majaribio....?

Mrusi anavutiwa Kasi tu ngoja kwanza ayumbe kiuchumi ndio atajua who is the fucking nato.
 
Hii analysis kali sana, shukrani.
 
Kwann habari hizo hazipatikani BBC wala Aljazeera na hata CNN?
Ukizingatia gharama ya kifaru na zaidi gharama ya kufiksha hicho kifaru Ukrane halafu kinaondoshwa na kombora moja tu inayorushwa kwa kifaa kinachobebwa begani, hivi vifaa vipo vingi na ikiwezekana vitagawiwa hata kwa wakulima na akina yakhee mitaani, ili kifaru kikipita kinaliwa shaba.

Anaiingia hasara kubwa sana nje na nyumbani pia maana kule uchumi unaendelea kuzorota, vita ni gharama kubwa, ikumbukwe pia ndege zimedunguliwa. Halafu Putin atapoteza sana soko la silaha maana ameonyesha udhaifu mkubwa.

Wanajeshi wake wameanza kuteseka njaa

Propaganda za kitoto hizo. US na NATO walimdanganya Ukraine watamsaidia lakini vita ilipoanza wamekimbia nduki 🤣 mbebaki nyinyi Kunyaland mnaleta propadanga hapa wakati waukraine wanaumia huko.
 
Kakifaaa kamewachanganya [emoji38][emoji38][emoji38]

Hichi kifaa ni ukweli mtupu teknolojia alio itumia mmarekani hapo ni ya Hali ya juu Sana .

Yaani hicho kifaa ni spesho kwa ajiri ya vifaru tu. Na hicho shabaha yake hata mlevi analenga na akisha fyatua chenyewe ndio kinaanza kukitafuta kifaru kipo wapi.

Na Cha ajabu zaidi yaani mpigo mmoja tu kifaru kinachanika hovyo hovyo na kupotea kabisa ramani yake. Na hicho ndicho myukren anajivunia.

Na kimekua sumu kwa putin na kinasambaratisha hovyohovyo majeshi ya urusi ....hatukatai ukrein nao wanapigwa Ila ukiwianisha urusi ndio anachakazwa zaidi kwa sababu mrusi ndani ya wiki moja kapoteza wanajeshi Zaid ya elfu kumi Hadi nae imefikia hatua anaomba watu kutoka mataifa mengine awape uraia bure ili wakapigane.

Wanao bisha kwamba mrusi hapigwi hwana akili na hawafuatilii mambo sawa wewe ni baunsa ndio upigane huku umefungwa kamba na mtu ambaye Hana kamba ....? Hizi ngumi unashindaje....? Hata Kama unagombana na mtu ambaye Hana Mikono.

Mmarekani anasilaha nyingi na nzito sema ndio hivyo kazifucha moja ya silaha ambayo ni mpya ulimwenguni ni hicho kifaa kwa ajiri ya vifaru.

Na hapa mrusi hayo makombora ya nukes anayo yategemea mwenzie mmarekani Alisha kuwa nayo miaka 70 ilio pita na aliyajaribia Japan na tangu hapo hajawahi Tena kufanya majaribio ya hayo madude kwa sababu anayafahamu. Sasa wewe fikiri tangu miaka hiyo Hadi Leo atakua ameyaboresha kiasi gani.....? Na hao wakina kiduku na putin wao wameyapata juzi tu kelele nyiingi na kuhatarisha usala wa dunia. Mbona mwenzao anayo kitambo tu Wala hafanyi majaribio....?

Mrusi anavutiwa Kasi tu ngoja kwanza ayumbe kiuchumi ndio atajua who is the fucking nato.
Hujui kitu wewe umeegemea kwenye propaganda za wamarekani na NATO wakati ukraine wanaumia. Sijaona hata mji mmoja wa Urusi umeshambuliwa mmebaki na propaganda za BBC Aljazeera na BBC. Jiulize kwa nini wamarekani kwanini wanazuia clip zinazoonyesha waukraine wakipata kibano??!
 
YouTube wamecharuka wanafungia video zozote za propaganda za mrusi...............wanaogopa watu wataonyeshwa vile wanavyohangaika kuvificha
 
Hujui kitu wewe umeegemea kwenye propaganda za wamarekani na NATO wakati ukraine wanaumia. Sijaona hata mji mmoja wa Urusi umeshambuliwa mmebaki na propaganda za BBC Aljazeera na BBC. Jiulize kwa nini wamarekani kwanini wanazuia clip zinazoonyesha waukraine wakipata kibano??!
Hapana mkuu unajua kwa Nini habari zipo upande mmoja.....? Jibu ni kwamba mrusi ametengwa na dunia isipo kuwa hao watu wawili anao wategemea ambao Hadi Sasa hawana nae msaada wowote china,na kiduku .

Hivyo vikwazo alivyo wekewe ni pamoja na media hata social network Kama Facebook na tiktok ambako Putin alikua anashindwa huko wote hao wameondoka urusi na kufutiwa putin account zake hivyo habari za urusi huwezi zisikia maana hata hizo BBC na aljazira nazo nipo pamoja na mmarekani ......yaani ni mwendo wa vikwazo kila sehemu na unatengwa haswa hata saizi Kama urusi anachapika na mmarekani huwezi sikia .
 
Bado kifaa kinaendelea kutesa....
Wasiwasi wangu kwenye hivi vita, Putin atalazimika kutumia nyuklia maana hamna namna, na hapo ndio itabidi apigwe sasa.

main-qimg-e9aa48eb055d24de9ff0a6a49faf07fd
 
Back
Top Bottom