Hiki kifaa cha NLAW kimekuwa mateso kwa vifaru vya Warusi

Hiki kifaa cha NLAW kimekuwa mateso kwa vifaru vya Warusi

Ukizingatia gharama ya kifaru na zaidi gharama ya kufiksha hicho kifaru Ukrane halafu kinaondoshwa na kombora moja tu inayorushwa kwa kifaa kinachobebwa begani, hivi vifaa vipo vingi na ikiwezekana vitagawiwa hata kwa wakulima na akina yakhee mitaani, ili kifaru kikipita kinaliwa shaba.

UNAIJUA T AMARTA TANK
 
Man of the match. Hapo wanajeshi wa Ukraine wakifundishwa kutumia St. Javelin.
FB_IMG_16470028651482004.jpg
 
Ukizingatia gharama ya kifaru na zaidi gharama ya kufiksha hicho kifaru Ukrane halafu kinaondoshwa na kombora moja tu inayorushwa kwa kifaa kinachobebwa begani, hivi vifaa vipo vingi na ikiwezekana vitagawiwa hata kwa wakulima na akina yakhee mitaani, ili kifaru kikipita kinaliwa shaba.

Urusi anapunguza stock ya vifaru vya aina T 72 ambavyo anavyo 2000
 
Urusi anapunguza stock ya vifaru vya aina T 72 ambavyo anavyo 2000

Uko sahihi maana kapunguziwa ipasavyo... Tatizo kila linaloliwa shaba, humo ndani wanakufa Warusi, ambao wamepambanishwa kwenye ugomvi ambao hawauelewi....

main-qimg-e9aa48eb055d24de9ff0a6a49faf07fd
 
Ukizingatia gharama ya kifaru na zaidi gharama ya kufiksha hicho kifaru Ukrane halafu kinaondoshwa na kombora moja tu inayorushwa kwa kifaa kinachobebwa begani, hivi vifaa vipo vingi na ikiwezekana vitagawiwa hata kwa wakulima na akina yakhee mitaani, ili kifaru kikipita kinaliwa shaba.

Mkuu hii inaitwa Stinger ni zao la Mmarekani., Warusi wanashika adabu yao sasa wameomba msaada kutoka China maamae zao

safe_image.jpg
 
Kakifaaa kamewachanganya [emoji38][emoji38][emoji38]

Hichi kifaa ni ukweli mtupu teknolojia alio itumia mmarekani hapo ni ya Hali ya juu Sana .

Yaani hicho kifaa ni spesho kwa ajiri ya vifaru tu. Na hicho shabaha yake hata mlevi analenga na akisha fyatua chenyewe ndio kinaanza kukitafuta kifaru kipo wapi.

Na Cha ajabu zaidi yaani mpigo mmoja tu kifaru kinachanika hovyo hovyo na kupotea kabisa ramani yake. Na hicho ndicho myukren anajivunia.

Na kimekua sumu kwa putin na kinasambaratisha hovyohovyo majeshi ya urusi ....hatukatai ukrein nao wanapigwa Ila ukiwianisha urusi ndio anachakazwa zaidi kwa sababu mrusi ndani ya wiki moja kapoteza wanajeshi Zaid ya elfu kumi Hadi nae imefikia hatua anaomba watu kutoka mataifa mengine awape uraia bure ili wakapigane.

Wanao bisha kwamba mrusi hapigwi hwana akili na hawafuatilii mambo sawa wewe ni baunsa ndio upigane huku umefungwa kamba na mtu ambaye Hana kamba ....? Hizi ngumi unashindaje....? Hata Kama unagombana na mtu ambaye Hana Mikono.

Mmarekani anasilaha nyingi na nzito sema ndio hivyo kazifucha moja ya silaha ambayo ni mpya ulimwenguni ni hicho kifaa kwa ajiri ya vifaru.

Na hapa mrusi hayo makombora ya nukes anayo yategemea mwenzie mmarekani Alisha kuwa nayo miaka 70 ilio pita na aliyajaribia Japan na tangu hapo hajawahi Tena kufanya majaribio ya hayo madude kwa sababu anayafahamu. Sasa wewe fikiri tangu miaka hiyo Hadi Leo atakua ameyaboresha kiasi gani.....? Na hao wakina kiduku na putin wao wameyapata juzi tu kelele nyiingi na kuhatarisha usala wa dunia. Mbona mwenzao anayo kitambo tu Wala hafanyi majaribio....?

Mrusi anavutiwa Kasi tu ngoja kwanza ayumbe kiuchumi ndio atajua who is the fucking nato.
Jumlisha na dron za mturuki, stingers na kuna silaha "Saint" Javelin.
 
Hebu ona vifaru vinavyoliwa shaba, hatari sana...

Warusi watashinda hii vita lakini watapata tabu sana. Vita ya mtaa kwa mtaa ni ngumu cause hujui adui amejificha wapi na hivi Ukraine amevurugwa so hana cha kupoteza.
 
Kwenye Hii vita bwanamkubwa , Russia amedhalilishwa Sana na bwanamdogo, Ukraine.
Putin amefanyiwa surprise ya kufa Mtu na Ukraine [emoji848]
Sana tu mpaka anabomoa nyumba za kuishi watu
 
Mkuu hii inaitwa Stinger ni zao la Mmarekani., Warusi wanashika adabu yao sasa wameomba msaada kutoka China maamae zao

View attachment 2150126
Hapana. Kuna Siraha mbili za Marekani ambazo Ukraine wamepewa.

1. Javerine. Hii ni Ant-Tank Missile ambayo inabebwa Begani na inauzito wa 27Kg. Kazi yake ni kufumua Vifaru vinavyojichanganya. Range yake ni 6Km. Kwahiyo unaweza kusambaratisha Kifaru kilichoko Mbagara wewe ukiwa Kariakoo.

2.***Stinger Missile. Hii ni Ant-Aircraft Missile. Kazi yake ni kutungua Helikopta na Fighter jets zinazopita karibu na Anga.
 
Jamani naomba kufahamu kwa siku mrusi anatumia ghalama kiasi gani kupambana na ukrain na bei ya kifaru kimoja ni sh. Ngapi
Na hizo ghalama atazirudishaje kama akishindwa vita. Au akishinda vita.
Hakuna kitu kinaitwa 'ghalama' yani nyinyi pro Ukraine hata kuandika hamuwezi!?
shabash
 
Watu wanabeba maeneo huko we unabwabwa na tuvifaru.......vita casualties lazima na mjeshi kifo ni kama kunywa maji tu.....sio kama wale mashoga wanaoogopa kuchapika wanatoa wenzao chambo

Wanaume wanazidi kuibeba nchi

Ahsante sana mkuu umefanya jambo lá mbolea
Mkakati wakati wameishiwa mbinu.......kwa sasa kinachowaokoa ni kujificha tu kwa raia wakijua mrusi hawezi shambulia raia na wao ndo wanafanya hizo ambush zao...........ndo maana wanaleta figisu raia wasiokolewe maana ndo ngao zao.....wakitoka raia ndani ya sekunde tu mrusi anawafagia
Ukraine apigwe tu
Hujui kitu wewe umeegemea kwenye propaganda za wamarekani na NATO wakati ukraine wanaumia. Sijaona hata mji mmoja wa Urusi umeshambuliwa mmebaki na propaganda za BBC Aljazeera na BBC. Jiulize kwa nini wamarekani kwanini wanazuia clip zinazoonyesha waukraine wakipata kibano??!
Wanajitahidi kutuficha ukweli
YouTube wamecharuka wanafungia video zozote za propaganda za mrusi...............wanaogopa watu wataonyeshwa vile wanavyohangaika kuvificha
YouTube wanazingua
Nalog off
 
Anachofanyiwa Mrusi hadi huruma, hivi Putin ilikuaje afanye maamuzi ya kupeleka vijana wake wakachinjwe hivi...

Kuna watu humu wanatamani tu kusikia waukraine wameuawa, wakisikia warusi wamechinjwa wanakasirika utafikiri wamechinjwa wao afu wanajifariji kwa kusema 'Propaganda' [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mfumo wa kisasa kabisa wa kujilinda ukiwa umeharibiwa na Ukraine.
FB_IMG_16473451107265639.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_16473451107265639.jpg
    FB_IMG_16473451107265639.jpg
    23.9 KB · Views: 8
Kuna watu humu wanatamani tu kusikia waukraine wameuawa, wakisikia warusi wamechinjwa wanakasirika utafikiri wamechinjwa wao afu wanajifariji kwa kusema 'Propaganda' [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wakiskia Mrusi ameuawa wanatukana hadi basi...Utadhani wako Moscow.
Hapa nawaza hali ilivyo kwenye ikulu ya Putin, anavyotukana na kugombeza majenerali wake, tatizo aliaminisha dunia itakua kazi ya kufyeka Ukraine bila kupoteza Mrusi yeyote, hali imekua hovyoo.
 
Back
Top Bottom