Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
A. War has costJamani naomba kufahamu kwa siku mrusi anatumia ghalama kiasi gani kupambana na ukrain na bei ya kifaru kimoja ni sh. Ngapi
Na hizo ghalama atazirudishaje kama akishindwa vita. Au akishinda vita.
Jamani naomba kufahamu kwa siku mrusi anatumia ghalama kiasi gani kupambana na ukrain na bei ya kifaru kimoja ni sh. Ngapi
Na hizo ghalama atazirudishaje kama akishindwa vita. Au akishinda vita.
Sasa kwanini wasivilipue huko mpakani wanasubiri hadi vinaingia mjini na kufanya uharibifu wa majengo yao mazuri mazuriUkizingatia gharama ya kifaru na zaidi gharama ya kufiksha hicho kifaru Ukrane halafu kinaondoshwa na kombora moja tu inayorushwa kwa kifaa kinachobebwa begani, hivi vifaa vipo vingi na ikiwezekana vitagawiwa hata kwa wakulima na akina yakhee mitaani, ili kifaru kikipita kinaliwa shaba.
Sasa kwanini wasivilipue huko mpakani wanasubiri hadi vinaingia mjini na kufanya uharibifu wa majengo yao mazuri mazuri
Mbona cuba pale kamasi zilimtoka......cha ukraine ndo kama kilekile cha cuba mashoga watulie tuUkraine imevamia nchi gani?
Mbona hao mashoga hamvamii nchi zao?
Jaribuni Invasion USA na siyo ile filamu ya Chuck Norris.
Watu wanabeba maeneo huko we unabwabwa na tuvifaru.......vita casualties lazima na mjeshi kifo ni kama kunywa maji tu.....sio kama wale mashoga wanaoogopa kuchapika wanatoa wenzao chamboHuo ni mkakati wa kivita, ni wazi Urusi ana nguvu kubwa, Ukraine hawezi kupambana naye uso kwa uso, unamuacha aingie ndani kabisa mpaka pale amechoka na kuhema na kuanza kuhangaika hana mafuta na chakula ndio unaanza kumla shaba kwa pembeni, ubavuni.
Pia angalia hizo video hawapigi kifaru cha mwanzo, wanasubiri vipite kadhaa halafu wanashambulia vya katikati, hiyo inasababisha vipoteane maana walioko mbele wanaskia wenzao nyuma wanalia kwa kipigo, wanachanganyikiwa hawajui warudi nyuma au wasonge mbele.
Mkakati wakati wameishiwa mbinu.......kwa sasa kinachowaokoa ni kujificha tu kwa raia wakijua mrusi hawezi shambulia raia na wao ndo wanafanya hizo ambush zao...........ndo maana wanaleta figisu raia wasiokolewe maana ndo ngao zao.....wakitoka raia ndani ya sekunde tu mrusi anawafagiaHuo ni mkakati wa kivita, ni wazi Urusi ana nguvu kubwa, Ukraine hawezi kupambana naye uso kwa uso, unamuacha aingie ndani kabisa mpaka pale amechoka na kuhema na kuanza kuhangaika hana mafuta na chakula ndio unaanza kumla shaba kwa pembeni, ubavuni.
Pia angalia hizo video hawapigi kifaru cha mwanzo, wanasubiri vipite kadhaa halafu wanashambulia vya katikati, hiyo inasababisha vipoteane maana walioko mbele wanaskia wenzao nyuma wanalia kwa kipigo, wanachanganyikiwa hawajui warudi nyuma au wasonge mbele.
Kakifaaa kamewachanganya [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] comments
Kakifaaa kamewachanganya [emoji38][emoji38][emoji38]
Hichi kifaa ni ukweli mtupu teknolojia alio itumia mmarekani hapo ni ya Hali ya juu Sana .
Yaani hicho kifaa ni spesho kwa ajiri ya vifaru tu. Na hicho shabaha yake hata mlevi analenga na akisha fyatua chenyewe ndio kinaanza kukitafuta kifaru kipo wapi.
Na Cha ajabu zaidi yaani mpigo mmoja tu kifaru kinachanika hovyo hovyo na kupotea kabisa ramani yake. Na hicho ndicho myukren anajivunia.
Na kimekua sumu kwa putin na kinasambaratisha hovyohovyo majeshi ya urusi ....hatukatai ukrein nao wanapigwa Ila ukiwianisha urusi ndio anachakazwa zaidi kwa sababu mrusi ndani ya wiki moja kapoteza wanajeshi Zaid ya elfu kumi Hadi nae imefikia hatua anaomba watu kutoka mataifa mengine awape uraia bure ili wakapigane.
Wanao bisha kwamba mrusi hapigwi hwana akili na hawafuatilii mambo sawa wewe ni baunsa ndio upigane huku umefungwa kamba na mtu ambaye Hana kamba ....? Hizi ngumi unashindaje....? Hata Kama unagombana na mtu ambaye Hana Mikono.
Mmarekani anasilaha nyingi na nzito sema ndio hivyo kazifucha moja ya silaha ambayo ni mpya ulimwenguni ni hicho kifaa kwa ajiri ya vifaru.
Na hapa mrusi hayo makombora ya nukes anayo yategemea mwenzie mmarekani Alisha kuwa nayo miaka 70 ilio pita na aliyajaribia Japan na tangu hapo hajawahi Tena kufanya majaribio ya hayo madude kwa sababu anayafahamu. Sasa wewe fikiri tangu miaka hiyo Hadi Leo atakua ameyaboresha kiasi gani.....? Na hao wakina kiduku na putin wao wameyapata juzi tu kelele nyiingi na kuhatarisha usala wa dunia. Mbona mwenzao anayo kitambo tu Wala hafanyi majaribio....?
Mrusi anavutiwa Kasi tu ngoja kwanza ayumbe kiuchumi ndio atajua who is the fucking nato.
Ukizingatia gharama ya kifaru na zaidi gharama ya kufiksha hicho kifaru Ukrane halafu kinaondoshwa na kombora moja tu inayorushwa kwa kifaa kinachobebwa begani, hivi vifaa vipo vingi na ikiwezekana vitagawiwa hata kwa wakulima na akina yakhee mitaani, ili kifaru kikipita kinaliwa shaba.
Propaganda za kitoto hizo. US na NATO walimdanganya Ukraine watamsaidia lakini vita ilipoanza wamekimbia nduki 🤣 mbebaki nyinyi Kunyaland mnaleta propadanga hapa wakati waukraine wanaumia huko.Anaiingia hasara kubwa sana nje na nyumbani pia maana kule uchumi unaendelea kuzorota, vita ni gharama kubwa, ikumbukwe pia ndege zimedunguliwa. Halafu Putin atapoteza sana soko la silaha maana ameonyesha udhaifu mkubwa.
Wanajeshi wake wameanza kuteseka njaa
Hujui kitu wewe umeegemea kwenye propaganda za wamarekani na NATO wakati ukraine wanaumia. Sijaona hata mji mmoja wa Urusi umeshambuliwa mmebaki na propaganda za BBC Aljazeera na BBC. Jiulize kwa nini wamarekani kwanini wanazuia clip zinazoonyesha waukraine wakipata kibano??!Kakifaaa kamewachanganya [emoji38][emoji38][emoji38]
Hichi kifaa ni ukweli mtupu teknolojia alio itumia mmarekani hapo ni ya Hali ya juu Sana .
Yaani hicho kifaa ni spesho kwa ajiri ya vifaru tu. Na hicho shabaha yake hata mlevi analenga na akisha fyatua chenyewe ndio kinaanza kukitafuta kifaru kipo wapi.
Na Cha ajabu zaidi yaani mpigo mmoja tu kifaru kinachanika hovyo hovyo na kupotea kabisa ramani yake. Na hicho ndicho myukren anajivunia.
Na kimekua sumu kwa putin na kinasambaratisha hovyohovyo majeshi ya urusi ....hatukatai ukrein nao wanapigwa Ila ukiwianisha urusi ndio anachakazwa zaidi kwa sababu mrusi ndani ya wiki moja kapoteza wanajeshi Zaid ya elfu kumi Hadi nae imefikia hatua anaomba watu kutoka mataifa mengine awape uraia bure ili wakapigane.
Wanao bisha kwamba mrusi hapigwi hwana akili na hawafuatilii mambo sawa wewe ni baunsa ndio upigane huku umefungwa kamba na mtu ambaye Hana kamba ....? Hizi ngumi unashindaje....? Hata Kama unagombana na mtu ambaye Hana Mikono.
Mmarekani anasilaha nyingi na nzito sema ndio hivyo kazifucha moja ya silaha ambayo ni mpya ulimwenguni ni hicho kifaa kwa ajiri ya vifaru.
Na hapa mrusi hayo makombora ya nukes anayo yategemea mwenzie mmarekani Alisha kuwa nayo miaka 70 ilio pita na aliyajaribia Japan na tangu hapo hajawahi Tena kufanya majaribio ya hayo madude kwa sababu anayafahamu. Sasa wewe fikiri tangu miaka hiyo Hadi Leo atakua ameyaboresha kiasi gani.....? Na hao wakina kiduku na putin wao wameyapata juzi tu kelele nyiingi na kuhatarisha usala wa dunia. Mbona mwenzao anayo kitambo tu Wala hafanyi majaribio....?
Mrusi anavutiwa Kasi tu ngoja kwanza ayumbe kiuchumi ndio atajua who is the fucking nato.
YouTube wamecharuka wanafungia video zozote za propaganda za mrusi...............wanaogopa watu wataonyeshwa vile wanavyohangaika kuvifichaHujui kitu wewe umeegemea kwenye propaganda za wamarekani na NATO wakati ukraine wanaumia. Sijaona hata mji mmoja wa Urusi umeshambuliwa mmebaki na propaganda za BBC Aljazeera na BBC. Jiulize kwa nini wamarekani kwanini wanazuia clip zinazoonyesha waukraine wakipata kibano??!
Ingia MOD RUSSIA tuone urusi inavyofagia ardhi ya ukrainePropaganda as usual
Hapana mkuu unajua kwa Nini habari zipo upande mmoja.....? Jibu ni kwamba mrusi ametengwa na dunia isipo kuwa hao watu wawili anao wategemea ambao Hadi Sasa hawana nae msaada wowote china,na kiduku .Hujui kitu wewe umeegemea kwenye propaganda za wamarekani na NATO wakati ukraine wanaumia. Sijaona hata mji mmoja wa Urusi umeshambuliwa mmebaki na propaganda za BBC Aljazeera na BBC. Jiulize kwa nini wamarekani kwanini wanazuia clip zinazoonyesha waukraine wakipata kibano??!
Urusi imeshafirisika tayari, inaomba msaada China.Jamani naomba kufahamu kwa siku mrusi anatumia ghalama kiasi gani kupambana na ukrain na bei ya kifaru kimoja ni sh. Ngapi
Na hizo ghalama atazirudishaje kama akishindwa vita. Au akishinda vita.