Hiki kifaa cha NLAW kimekuwa mateso kwa vifaru vya Warusi

UNAIJUA T AMARTA TANK
 
Urusi anapunguza stock ya vifaru vya aina T 72 ambavyo anavyo 2000
 
Urusi anapunguza stock ya vifaru vya aina T 72 ambavyo anavyo 2000

Uko sahihi maana kapunguziwa ipasavyo... Tatizo kila linaloliwa shaba, humo ndani wanakufa Warusi, ambao wamepambanishwa kwenye ugomvi ambao hawauelewi....

 

Mkuu hii inaitwa Stinger ni zao la Mmarekani., Warusi wanashika adabu yao sasa wameomba msaada kutoka China maamae zao

 
Jumlisha na dron za mturuki, stingers na kuna silaha "Saint" Javelin.
 
Hebu ona vifaru vinavyoliwa shaba, hatari sana...

Warusi watashinda hii vita lakini watapata tabu sana. Vita ya mtaa kwa mtaa ni ngumu cause hujui adui amejificha wapi na hivi Ukraine amevurugwa so hana cha kupoteza.
 
Kwenye Hii vita bwanamkubwa , Russia amedhalilishwa Sana na bwanamdogo, Ukraine.
Putin amefanyiwa surprise ya kufa Mtu na Ukraine [emoji848]
Sana tu mpaka anabomoa nyumba za kuishi watu
 
Mkuu hii inaitwa Stinger ni zao la Mmarekani., Warusi wanashika adabu yao sasa wameomba msaada kutoka China maamae zao

View attachment 2150126
Hapana. Kuna Siraha mbili za Marekani ambazo Ukraine wamepewa.

1. Javerine. Hii ni Ant-Tank Missile ambayo inabebwa Begani na inauzito wa 27Kg. Kazi yake ni kufumua Vifaru vinavyojichanganya. Range yake ni 6Km. Kwahiyo unaweza kusambaratisha Kifaru kilichoko Mbagara wewe ukiwa Kariakoo.

2.***Stinger Missile. Hii ni Ant-Aircraft Missile. Kazi yake ni kutungua Helikopta na Fighter jets zinazopita karibu na Anga.
 
Jamani naomba kufahamu kwa siku mrusi anatumia ghalama kiasi gani kupambana na ukrain na bei ya kifaru kimoja ni sh. Ngapi
Na hizo ghalama atazirudishaje kama akishindwa vita. Au akishinda vita.
Hakuna kitu kinaitwa 'ghalama' yani nyinyi pro Ukraine hata kuandika hamuwezi!?
shabash
 
Ahsante sana mkuu umefanya jambo lá mbolea
Ukraine apigwe tu
Wanajitahidi kutuficha ukweli
YouTube wamecharuka wanafungia video zozote za propaganda za mrusi...............wanaogopa watu wataonyeshwa vile wanavyohangaika kuvificha
YouTube wanazingua
Nalog off
 
Anachofanyiwa Mrusi hadi huruma, hivi Putin ilikuaje afanye maamuzi ya kupeleka vijana wake wakachinjwe hivi...

 
Kuna watu humu wanatamani tu kusikia waukraine wameuawa, wakisikia warusi wamechinjwa wanakasirika utafikiri wamechinjwa wao afu wanajifariji kwa kusema 'Propaganda' [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mfumo wa kisasa kabisa wa kujilinda ukiwa umeharibiwa na Ukraine.
 

Attachments

  • FB_IMG_16473451107265639.jpg
    23.9 KB · Views: 8
Kuna watu humu wanatamani tu kusikia waukraine wameuawa, wakisikia warusi wamechinjwa wanakasirika utafikiri wamechinjwa wao afu wanajifariji kwa kusema 'Propaganda' [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wakiskia Mrusi ameuawa wanatukana hadi basi...Utadhani wako Moscow.
Hapa nawaza hali ilivyo kwenye ikulu ya Putin, anavyotukana na kugombeza majenerali wake, tatizo aliaminisha dunia itakua kazi ya kufyeka Ukraine bila kupoteza Mrusi yeyote, hali imekua hovyoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…