Hiki kigari ni aina gani?

Hiki kigari ni aina gani?

Kuna kigari nakiona ona sana barabarani
ni pick up kina tairi la spare mbele
ni kama ni cha mtu mmoja tu anakiendesha kilivyo...
kidogo sana...

kuna anaejua ni kigari gani?
brand ipi?kikoje details?
Ni kama hichi?

kigari.jpg
 
yes ndo chenyewe
nimeshanga vipo vya cc 900 wakati suzuki carry ni cc 650 ...
Yeah.. Vina ingine za kizamani kama sikosei ni kuanzia mwaka 56 hadi mwanzoni mwa mwaka 1970. Kpndi hicho ndo zilikuwa zinatengenezwa.
 
Sikufanikiwa hata kusoma brand yake japo nimeviona mara nyingi. Ila ni kama hicho mdau kaweka picha yake rangi ya kijani.
 
Back
Top Bottom