Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama hichi?Kuna kigari nakiona ona sana barabarani
ni pick up kina tairi la spare mbele
ni kama ni cha mtu mmoja tu anakiendesha kilivyo...
kidogo sana...
kuna anaejua ni kigari gani?
brand ipi?kikoje details?
jaribu tu mkuu au weka link
yaah ndio iki ila iki kmekua modifiedNi kama hichi?
Hebu check hicho hapo...kama chenyewe nambie nikupe bei na details zingine tufanye biashara fasta
Google Image Result for https://d1lzadedv5eypi.cloudfront.net/attachments/image/16399/gallery_full_802feccdac6496d901cdc537e7108300.jpg
sina mkuu, kiko kingine kimefunikwa kabisakinaitwaje hiki?
una details zake?
Sio hiki but nipe details za hiki pia
huwezi jua
Ni daihatsu widget llNahisi ni hiki
hiki ni kipi?
unaweza taja brand na detals zingine?
Ndo chenyewe?Ahsante mkuu
Yeah.. Vina ingine za kizamani kama sikosei ni kuanzia mwaka 56 hadi mwanzoni mwa mwaka 1970. Kpndi hicho ndo zilikuwa zinatengenezwa.yes ndo chenyewe
nimeshanga vipo vya cc 900 wakati suzuki carry ni cc 650 ...
Ndio spare tyre iko mbele vipo viwili pale Ilala rangi ya metalic green.Spare Tyre liko mbele?