Hiki kikatuni kinaelezea ukweli kuhusu CCM na Polisi?

Hiki kikatuni kinaelezea ukweli kuhusu CCM na Polisi?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Nimekiangalia hiki kikatuni, na kuunganisha alichokisema Jaji Warioba kwenye mkutano wake na wanahabari, kimenitafakarisha Sana.

Wewe unaona kama kuna ukweli fulani kuhusu hil katuni?

IMG-20241204-WA0029.jpg

Tujadiliane.
 
Nimekiangalia hiki kikatuni, na kuunganisha alichokisema Jaji Warioba kwenye mkutano wake na wanahabari, kimenitafakarisha Sana.

Wewe unaona kama kuna ukweli fulani kuhusu hil katuni?

View attachment 3169005
Tujadiliane.
Mbona iko wazi kuwa Polisi ni wabia wakubwa wa CCM katika maovu yote ikiwepo wizi wa kura na kuwateka,kuwatesa na kuwaua wapinzani ili CCM iendelee kutawala.
 
Attachments

  • IMG-20200726-WA0000.jpg
    IMG-20200726-WA0000.jpg
    43.7 KB · Views: 3
..Ukizingatia Mwenyekiti wa CCM ndiye Amiri Jeshi Mkuu.🤣
CCM hufanya Kila wawezalo kukitenga chama chao na ANGUKO lolote lile bila ya kujali hadhi yao.

Akiulizwa atasema hakuna vikao vya CCM vilivyoamua Polisi wafanye wanayoyafanya.
 
Sidhani kama sisiemu imeshawahi kujitenga na vyombo vya dola, tangu Tanzania iunde na kisha mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa.

Hii haipaswi kuwa hoja kwa sasa...matokeo ya hayo ndo yanapaswa kuwa agenda;
  • Uchafuzi kila baada ya miaka 5
  • Utekaji na Uuaji
  • Wizi na Ukwapuaji(Ufisadi wa wazi)
  • Incompetent fellas in leadership kupitia majina ya wazee wao.
  • Madeni makubwa kwa nchi, yanayoishia mifukoni na kazimkazi, Sir-meer festivals, marathon etc
  • Akina Luu-gumbi, Gud-rovu wanaochezea noti hadharani na TiaRaei wako kimyaaaa, wao ni ku-deal na PAYE na maduka ya akina Mangi.
  • By population, visiwani ni kama 3% tu ya Tanzania yote, vipi AJIRA za MUUNGANO ziwe 21% kwa visiwani na bado ajira za visiwani zote ziwe zao tu kwa kutumia MKAAZI philosophy?
  • Ni kweli imetoka 4.5% na kuwa 9% ya mzigo wote wa taifa unaenda visiwani?

Kama kweli wana nia na ni wazalendo wanaokerwa na uhalisia wa hali ya nchi( sio Zito, Mbowe au hata Lisu ninayeweza kuamini kuwa wana nia genuine); badala ya kususia Bunge; TOENI TIMU ZOTE UWANJANI hapo mwakani, wooote kabisa...ili waripoti kuwa nchi haina upinzani, hivyo inaingia kwenye mfumo wa chama kimoja thus no Democratic governance! Usiseme ndani ya chama kimoja mnaweza ku-practice democracy.

Ndoto ilikuwa ndefu sana, nitaendelea wakati mwingine
 
CCM hufanya Kila wawezalo kukitenga chama chao na ANGUKO lolote lile bila ya kujali hadhi yao.

Akiulizwa atasema hakuna vikao vya CCM vilivyoamua Polisi wafanye wanayoyafanya.

..nilicheka sana Dr.Nchimbi alivyosema amezungumza na Mwenyekiti wa Ccm na wameiomba Tamisemi iwarudishe wagombea wa upinzani waliotenguliwa.

..Samia Suluhu ndiye Waziri wa Tamisemi Kikatiba. Mambo aliyoyasema Dr.Nchimbi kwa waandishi wa habari yalikuwa ni dharau kubwa kwa waandishi hao.
 
Bahati mbaya Tanzania 80% ya waandishi wa habari ni makanjanja.

Ndiyo maana Mzee Butiku aliwananga.
 
Back
Top Bottom