Hiki kikatuni kinaelezea ukweli kuhusu CCM na Polisi?

Hiki kikatuni kinaelezea ukweli kuhusu CCM na Polisi?

Mbona iko wazi kuwa Polisi ni wabia wakubwa wa CCM katika maovu yote ikiwepo wizi wa kura na kuwateka,kuwatesa na kuwaua wapinzani ili CCM iendelee kutawala.
Kwa anaye waongezea vyeo na mshahara masurufu ni nani
 
Kuna nyingine hii hapa.
1732992300848.jpg
 
Nimekiangalia hiki kikatuni, na kuunganisha alichokisema Jaji Warioba kwenye mkutano wake na wanahabari, kimenitafakarisha Sana.

Wewe unaona kama kuna ukweli fulani kuhusu hil katuni?

View attachment 3169005
Tujadiliane.
Ule upande wa kijani mkono ni mwembamba kweli kweli 😅
Ila upande ule mwingine linaonekana kono la mazoezi na limeshiba kweli kweli 😳🙄 !
 
Back
Top Bottom