Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Yaani Gari likugonge halafu useme dereva hausiki... Hata kama mida hii ushapiga raundi kadhaa za Jhonie Walker, Bado naamini akili zako ziko sober.Jaji Warioba: Serikali ndio inaingiza Polisi Kwenye Siasa Siyo CCM
πππYaani Gari likugonge halafu useme dereva hausiki... Hata kama mida hii ushapiga raundi kadhaa za Jhonie Walker, Bado akili naamini zako ziko sober.
Mbona iko wazi kuwa Polisi ni wabia wakubwa wa CCM katika maovu yote ikiwepo wizi wa kura na kuwateka,kuwatesa na kuwaua wapinzani ili CCM iendelee kutawala.Nimekiangalia hiki kikatuni, na kuunganisha alichokisema Jaji Warioba kwenye mkutano wake na wanahabari, kimenitafakarisha Sana.
Wewe unaona kama kuna ukweli fulani kuhusu hil katuni?
View attachment 3169005
Tujadiliane.
πππ
Pale sijui Warioba alimaanisha nini ππ
Kuna jamaa aliwahi kuniambia kuwa shetani ni baba wa UONGO, na akaendelea kuniambia kuwa sasa CCM ndiyo huo UONGO wenyewe .Ccm na shetani ni ndugu wa damu
CCM hufanya Kila wawezalo kukitenga chama chao na ANGUKO lolote lile bila ya kujali hadhi yao...Ukizingatia Mwenyekiti wa CCM ndiye Amiri Jeshi Mkuu.π€£
Vile Bibi Nanihii anawapa pole walionusurika kuuwawaNimekiangalia hiki kikatuni, na kuunganisha alichokisema Jaji Warioba kwenye mkutano wake na wanahabari, kimenitafakarisha Sana.
Wewe unaona kama kuna ukweli fulani kuhusu hil katuni?
View attachment 3169005
Tujadiliane.
Aliongea kwa akili ya kikubwaπππ
Pale sijui Warioba alimaanisha nini ππ
CCM hufanya Kila wawezalo kukitenga chama chao na ANGUKO lolote lile bila ya kujali hadhi yao.
Akiulizwa atasema hakuna vikao vya CCM vilivyoamua Polisi wafanye wanayoyafanya.
Bahati mbaya Tanzania 80% ya waandishi wa habari ni makanjanja...nilicheka sana Dr.Nchimbi alivyosema amezungumza na Mwenyekiti wa Ccm na wameiomba Tamisemi iwarudishe wagombea wa upinzani waliotenguliwa.
..Samia Suluhu ndiye Waziri wa Tamisemi Kikatiba. Mambo aliyoyasema Dr.Nchimbi kwa waandishi wa habari yalikuwa ni dharau kubwa kwa waandishi hao.