Hiki kikatuni kinaelezea ukweli kuhusu CCM na Polisi?

Mbona iko wazi kuwa Polisi ni wabia wakubwa wa CCM katika maovu yote ikiwepo wizi wa kura na kuwateka,kuwatesa na kuwaua wapinzani ili CCM iendelee kutawala.
Kwa anaye waongezea vyeo na mshahara masurufu ni nani
 
Nimekiangalia hiki kikatuni, na kuunganisha alichokisema Jaji Warioba kwenye mkutano wake na wanahabari, kimenitafakarisha Sana.

Wewe unaona kama kuna ukweli fulani kuhusu hil katuni?

View attachment 3169005
Tujadiliane.
Ule upande wa kijani mkono ni mwembamba kweli kweli πŸ˜…
Ila upande ule mwingine linaonekana kono la mazoezi na limeshiba kweli kweli πŸ˜³πŸ™„ !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…