Hiki kilichonitokea jana na juzi mwilini kwako kimewahi pia kukutokea?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Habari zenu JF.

Kama mada iulizavyo, juzi na Jana nilifanya kazi ikanitoa jasho maeneo yote ya mwili.

Kisa ni hiki, maeneo ya makwapa yalitoka majimaji meupe yanye povu kama maziwa au sabuni. Niishangaa sana kwani sijawahi kutoka jasho la aina hii.

Je yaweza kuwa nina shida mwilini ama? Je wewe uliwahi kukumbwa na kadhia hii? Uliwahi kushuhudia jasho la aina kwa mtu mwingine?
 
Ulifanya kazi gani mwana kazi zipo nyingi ofkoz hilo tatizo halijawahi ni kumba ndo kwanza nalisikia kwako
 
Kazi ya kuinua matofali kusogeza kwenye saiti baada ya Lori lililoleta kushusha mbali kidogo na eneo la ujenzi, umbali wa mita 40, nikaona isiwe shida kazi naifanya mwenyewe.
 
Kazi ya kuinua matofali kusogeza kwenye saiti baada ya Lori lililoleta kushusha mbali kidogo na eno la ujenzi, umbali wa mita 40, nikaona isiwe shida kazi naifanya mwenyewe.
Duh basi inaonekana ulifanya kazi ngumu sana ambayo hukuwahi kufanya kitambo.
Ambapo kitakacho tokea ni kuyeyuka kwa mafuta mwilini i think nipo sawa ndio mwana ukaona hiyo ranging nyeupe
 
Itakua;

1) Ukioga haujisafishi sabuni vizuri, sabuni inabakia mwilini na unaishia kujifuta tu.

2) Unapakaa lotion/mafuta mengi kwenye ngozi ukimaliza kuoga, ambayo ngozi hai ABSORB yote.

Usihofu, ni njia ya mwili kujisafisha wenyewe. Ila omba isikutokee ukiwa unafanya TENDO LA NDOA na mtu ambae hujawahi kufanya nae, anaweza akajua UNAKOPA KUOGA na kujiwekea kua UTALIPA DENI siku mungu akipenda.
 
Usihofu, ni njia ya mwili kujisafisha wenyewe. Ila omba isikutokee ukiwa unafanya TENDO LA NDOA na mtu ambae hujawahi kufanya nae, anaweza akajua una KOPA KUOGA na kujiwekea kua UTALIPA DENI siku mungu akipenda.
Kopa kuoga ndyo nini? Wala sipaki losheni nyingi
 
Ungeangalia vizuri karibu yako mkuu,kulikuwa na mtu amekuja kukutia moyo[emoji23]si umewahi skia kisa cha jasho la damu gesthemane hukooooo! Ndo vivo yaani,mateso yako yameonekana [emoji54]
 
Jichunguze huogagi vizuri na hata nywele zako za kwapa zina weupe uliogandaganda.... osha kwapa vizuri kwa dodoki na sabuni, suuza na maji safi hadi povu liishe kabisa, paka mafuta ya maji.
 
Itakua;

1) Ukioga haujisafishi sabuni vizuri, sabuni inabakia mwilini na unaishia kujifuta tu.

2) Unapakaa lotion/mafuta mengi kwenye ngozi ukimaliza kuoga, ambayo ngozi hai ABSORB yote.

Usihofu, ni njia ya mwili kujisafisha wenyewe. Ila omba isikutokee ukiwa unafanya TENDO LA NDOA na mtu ambae hujawahi kufanya nae, anaweza akajua UNAKOPA KUOGA na kujiwekea kua UTALIPA DENI siku mungu akipenda.
Soulmate acha bana

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom