Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Habari zenu JF.
Kama mada iulizavyo, juzi na Jana nilifanya kazi ikanitoa jasho maeneo yote ya mwili.
Kisa ni hiki, maeneo ya makwapa yalitoka majimaji meupe yanye povu kama maziwa au sabuni. Niishangaa sana kwani sijawahi kutoka jasho la aina hii.
Je yaweza kuwa nina shida mwilini ama? Je wewe uliwahi kukumbwa na kadhia hii? Uliwahi kushuhudia jasho la aina kwa mtu mwingine?