Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Ulifanya kazi gani mwana kazi zipo nyingi ofkoz hilo tatizo halijawahi ni kumba ndo kwanza nalisikia kwakoHabari zenu JF.
Kama mada iulizavyo, juzi na Jana nilifanya kazi ikanitoa jasho maeneo yote ya mwili.
Kisa ni hiki, maeneo ya makwapa yalitoka majimaji meupe yanye povu kama maziwa au sabuni. Niishangaa sana kwani sijawahi kutoka jasho la aina hii.
Je yaweza kuwa nina shida mwilini ama? Je wewe uliwahi kukumbwa na kadhia hii? Uliwahi kushuhudia jasho la aina kwa mtu mwingine?
Kazi ya kuinua matofali kusogeza kwenye saiti baada ya Lori lililoleta kushusha mbali kidogo na eneo la ujenzi, umbali wa mita 40, nikaona isiwe shida kazi naifanya mwenyewe.Ulifanya kazi gani mwana kazi zipo nyingi ofkoz hilo tatizo halijawahi ni kumba ndo kwanza nalisikia kwako
Duh basi inaonekana ulifanya kazi ngumu sana ambayo hukuwahi kufanya kitambo.Kazi ya kuinua matofali kusogeza kwenye saiti baada ya Lori lililoleta kushusha mbali kidogo na eno la ujenzi, umbali wa mita 40, nikaona isiwe shida kazi naifanya mwenyewe.
DuuuuhhDuh basi inaonekana ulifanya kazi ngumu sana ambayo hukuwahi kufanya kitambo.
Ambapo kitakacho tokea ni kuyeyuka kwa mafuta mwilini i think nipo sawa ndio mwana ukaona hiyo ranging nyeupe
Nifanyeje kukabiliana na halii hii?Duh basi inaonekana ulifanya kazi ngumu sana ambayo hukuwahi kufanya kitambo.
Ambapo kitakacho tokea ni kuyeyuka kwa mafuta mwilini i think nipo sawa ndio mwana ukaona hiyo ranging nyeupe
Kopa kuoga ndyo nini? Wala sipaki losheni nyingiItakua;
1) Ukioga haujisafishi sabuni vizuri, sabuni inabakia mwilini na unaishia kujifuta tu.
2) Unapakaa lotion/mafuta mengi kwenye ngozi ukimaliza kuoga, ambayo ngozi hai ABSORB yote.
Usihofu, ni njia ya mwili kujisafisha wenyewe. Ila omba isikutokee ukiwa unafanya TENDO LA NDOA na mtu ambae hujawahi kufanya nae, anaweza akajua una KOPA KUOGA na kujiwekea kua UTALIPA DENI siku mungu akipenda.
Umeshawahi kukopa hela? Na kukopa kuoga ni hivo hivo[emoji53] [emoji18]Kopa kuoga ndyo nini
Soulmate acha banaItakua;
1) Ukioga haujisafishi sabuni vizuri, sabuni inabakia mwilini na unaishia kujifuta tu.
2) Unapakaa lotion/mafuta mengi kwenye ngozi ukimaliza kuoga, ambayo ngozi hai ABSORB yote.
Usihofu, ni njia ya mwili kujisafisha wenyewe. Ila omba isikutokee ukiwa unafanya TENDO LA NDOA na mtu ambae hujawahi kufanya nae, anaweza akajua UNAKOPA KUOGA na kujiwekea kua UTALIPA DENI siku mungu akipenda.
Mfuko wa povu umepasuka.
Hujambo Madame!Hahahahahaaaaa una lana ww
Hujambo Madame!
Sjambo shikamoo
Shikamoo! Kesho nakuja Dar unipokee pale Makumbusho.