PostGE2025 Hiki kinachoendelea sasa ni baada ya aliyekuwa spika, Dkt. Tulia kupigia debe marekebisho ya Sheria ya Usalama wa Taifa kutowajibishwa kabisa

PostGE2025 Hiki kinachoendelea sasa ni baada ya aliyekuwa spika, Dkt. Tulia kupigia debe marekebisho ya Sheria ya Usalama wa Taifa kutowajibishwa kabisa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

chararaa

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2025
Posts
1,859
Reaction score
2,894
Bunge la uwakilishi wa wananchi lisinge kubali kupitisha sheria ya aina hii , matokeo ya kuto kuwa na maono na kuwa na wabunge wa hovyo haya ndio matunda yake hatuna wawakilishi maana ajenda Wanazo pitisha si za wananchi na haziwahusu wananchi

TULIA ACKSON MWANSASU wewe na bunge lako ni chanzo kikubwa cha kujeruhi hili taifa na raia wake na hii dhambi itakutafuna na wabunge wenzako maisha yako yote

Kwa sasa CCM haipo kwa ajili ya wananchi tena ,CCM si ya wananchi tena.
 
Kametumiwa na wahuni, halafu mwisho wa siku kametupwa jalalani kama ganda la muwa.
Huyu ndio chanzo cha hawa wajeuri kufanya walitakalo kwenye uhai wa watanganyika maana TULIA NA BUNGE LAKE walisha bariki hilo ,halafu tunadanganyana kuna bunge la wananchi kile nalo lije kutembelewa tuu
 
Bunge la uwakilishi wa wananchi lisinge kubali kupitisha sheria ya aina hii , matokeo ya kuto kuwa na maono na kuwa na wabunge wa hovyo haya ndio matunda yake hatuna wawakilishi maana ajenda Wanazo pitisha si za wananchi na haziwahusu wananchi

TULIA AKSON MWANSASU wewe na bunge lako ni chanzo kikubwa cha kujeruhi hili taifa na raia wake na hii dhambi itakutafuna na wabunge wenzako maisha yako yote

Kwa sasa CCM haipo kwa ajili ya wananchi tena ,CCM si ya wananchi tena.
Naona ameanza kutia huruma
Ila haamiki Tena

Ccm wanakutumia kama Ile mipira ya ndoa
 
1748376468938.jpg
 
Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) nchini Tanzania (Sura ya 406, iliyorekebishwa na The Tanzania Intelligence and Security Service (Amendment) Act, 2023) inatoa kinga ya kisheria kwa maafisa na watumishi wa idara hiyo. [1, 2]

Vipengele Muhimu vya Kinga Hii
    • Kinga dhidi ya Mashitaka: Sheria inatoa kinga kwa maafisa na wafanyakazi wa Usalama wa Taifa wanapotekeleza au kushindwa kutekeleza jambo fulani kwa nia njema (in good faith) wakati wa utendaji wa kazi zao. [1]
    • Usimamizi wa Moja kwa Moja na Rais: Mabadiliko ya mwaka 2023 yaliweka idara hiyo chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania badala ya Wizara iliyokuwa ikisimamia awali. [1, 2]
    • Mijadala ya Kisheria na Kikatiba: Masharti haya ya kinga yamekuwa chanzo cha mijadala miongoni mwa wanasheria na wanaharakati, wakidai kuwa yanapunguza uwajibikaji wa maafisa wa usalama na kuleta mkinzano na misingi ya usawa wa watu mbele ya sheria kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977
 
Bunge la uwakilishi wa wananchi lisinge kubali kupitisha sheria ya aina hii , matokeo ya kuto kuwa na maono na kuwa na wabunge wa hovyo haya ndio matunda yake hatuna wawakilishi maana ajenda Wanazo pitisha si za wananchi na haziwahusu wananchi

TULIA ACKSON MWANSASU wewe na bunge lako ni chanzo kikubwa cha kujeruhi hili taifa na raia wake na hii dhambi itakutafuna na wabunge wenzako maisha yako yote

Kwa sasa CCM haipo kwa ajili ya wananchi tena ,CCM si ya wananchi tena.
Tulia aliruhusu wasiojulikana ili walindwe kisheria.
Sasa baada ya kupitisha hilo, wamemtafuna naa anawayawaya kama ndege asiye na kiota.
 
Back
Top Bottom