Hiki kipindi cha mvua kina baridi hatariii

Hii ndio raha ya ndoa,saa hizi maofisini tunasinzia tu,ikifika usiku tena,kama kawa...
 
Naomba nilime mabamia yangu hapo pia kama hutojali

Nipo mwaya, maisha yanatupeleka mbio mwenzangu
Kilimo cha vibamia hakikubali huku nje ya jiji labda huko daslama ndio nasikia vibamia vinalimwa sana.

Nshakua mwenzako tena😅
Ulimisika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…