Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
- Thread starter
- #41
Hii mvua, kidogo baadae mtaanza njoo nikuone,
shenzi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mvua, kidogo baadae mtaanza njoo nikuone,
shenzi kabisa
Shamba lako liko wapi mkuu?Wachanganye hata na chainizi na pilipili kichaa, kilimo kinalipa
Niko mkoani
Hahaha genye mbaya sanaMwenetu kichupa kimejaa
Lipo kuzumla mkuranga ndio nimetoa nanasi naweka pipili 😅Shamba lako liko wapi mkuu?
Sawa nitajaribuBasi kesha ukiomba
Hii ndio raha ya ndoa,saa hizi maofisini tunasinzia tu,ikifika usiku tena,kama kawa...Za asubuhi waungwana.
Hiki kipindi kinahamasisha mgegedo walio kwenye ndoa kipindi hiki wanatupiga bao kwa maana wao mgegedo ni uhakika.
Lakini kwa sisi kataa ndoa hali ni mbaya demu unampanga hapangiki akija leo kurudi tena hadi wiki ipite nataka nirudi kwenye mrenda wa uvuguvugu.
Hali ni mbaya mdada anayesumbuliwa na baridi aje tuzungumze pm.
Kibunda bila kupata kajoto hakina maana yoyoteKaza mkuu mbona chache sana tunza kibunda
Washa moto utapata joto ikiwezekana ichome kabisa 😂Kibunda bila kupata kajoto hakina maana yoyote
Washa moto utapata joto ikiwezekana ichome kabisa
Naomba nilime mabamia yangu hapo pia kama hutojaliLipo kuzumla mkuranga ndio nimetoa nanasi naweka pipili 😅
Ulipotelea wapi?
Kilimo cha vibamia hakikubali huku nje ya jiji labda huko daslama ndio nasikia vibamia vinalimwa sana.Naomba nilime mabamia yangu hapo pia kama hutojali
Nipo mwaya, maisha yanatupeleka mbio mwenzangu
Kazuramimba mkuuShamba lako liko wapi mkuu?
Kabisa kabisaTinamshukuru mama Samia kwa hiyo baridi