Hiki kipindi kimetisha sana

Hiki kipindi kimetisha sana

Kabisa na hii mada ilivyokaa nikawaza mahaba-ra ni mahaba ya namna gani!
Ahahaha hamna kitu huwa nachukia kama kuchanganya 'ha' na 'a' maana ukiwa makini inabadili maana kabisa.
 
safi, usiwe mchoyo ss wape na wengine hiyo furaha guniaa
Sawa furaha yangu nataka nibebe mimba nizae katoto kazuri sanaaaa asubuhi kama hii kawe kamelala kifuani kwanguuuuuu

Nilikuwa kwenye diet ya kupunguza kilo hatimaye zimetimia so mwili upo tayar kubeba ujauzito ndo maana najisikia rahaaaaaaaaaaaaaaa

na wewe unataka kubeba mimba kama mimi
 
Kuna moja niliisikia ilikuwa nouma mkuu....

Mademu tunawadanganya sana hawa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sawa furaha yangu nataka nibebe mimba nizae katoto kazuri sanaaaa asubuhi kama hii kawe kamelala kifuani kwanguuuuuu

Nilikuwa kwenye diet ya kupunguza kilo hatimaye zimetimia so mwili upo tayar kubeba ujauzito ndo maana najisikia rahaaaaaaaaaaaaaaa

na wewe unataka kubeba mimba kama mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom