Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Kabisa na hii mada ilivyokaa nikawaza mahaba-ra ni mahaba ya namna gani!Kumbe ni maabara,basi nitakuwa nilikuwa nawaza mahaba wakati naandika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa na hii mada ilivyokaa nikawaza mahaba-ra ni mahaba ya namna gani!Kumbe ni maabara,basi nitakuwa nilikuwa nawaza mahaba wakati naandika.
Mpuuzi huy[emoji3][emoji16]miezi minne unaanza kujibodoa bodoa?Na akakufwe kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua ni kichaa huyo veroMpuuzi huy[emoji3][emoji16]miezi minne unaanza kujibodoa bodoa?
Naogopa mumu atakukimbianiulize ss...
acha uchochezi Demiss ss [emoji20][emoji20][emoji20][emoji19][emoji19]Naogopa mumu atakukimbia
Hahahaha naacha kabisaacha uchochezi Demiss ss [emoji20][emoji20][emoji20][emoji19][emoji19]
haujambo!Hahahaha naacha kabisa
Sjambo kabisaa yani nipo okay nina furahaaaa guniaaaahaujambo!
safi, usiwe mchoyo ss wape na wengine hiyo furaha guniaaSjambo kabisaa yani nipo okay nina furahaaaa guniaaaa
Sawa furaha yangu nataka nibebe mimba nizae katoto kazuri sanaaaa asubuhi kama hii kawe kamelala kifuani kwanguuuuuusafi, usiwe mchoyo ss wape na wengine hiyo furaha guniaa
Nichunguze mim shunie wala hutzimia ujueAkome vero kumchunguza mwanaume na kumuacha haujajiandaa
Huonekan mkuuHahahaaaaaa!!! Haya mambo bwana! Nimekumbuka mbali sana.
Demiss et ile ishu ya yule dogo iliishia wapi?Hahahahahaha aiseeee nimeipendaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa furaha yangu nataka nibebe mimba nizae katoto kazuri sanaaaa asubuhi kama hii kawe kamelala kifuani kwanguuuuuu
Nilikuwa kwenye diet ya kupunguza kilo hatimaye zimetimia so mwili upo tayar kubeba ujauzito ndo maana najisikia rahaaaaaaaaaaaaaaa
na wewe unataka kubeba mimba kama mimi
Baby one day nitakusapraiz[emoji41] [emoji41] [emoji41]Maskini Vero [emoji26][emoji26][emoji26]