utanielewesha wewe?
mwali atakuelewesha vizuri. Lol.utanielewesha wewe?
naandamwa sana na hili kosa ingawaje raha niliipata
asante kwa sapoti lakini yameisha yale. nimemuomba msamaha, na yeye akanisamehe. alafu tukakumbatiana .Deskmate, Niliona kuna sehem wanakushutumu, wakiendelea kukushutumu nishtue nitumie umod wangu kuwanyamazisha
mwali atakuelewesha vizuri. Lol.
Halafu kwanini unapenda kuchakachu threads za watu?
asante kwa sapoti lakini yameisha yale. nimemuomba msamaha, na yeye akanisamehe. alafu tukakumbatiana .
Amicable settlement...mbona mmekumbatiana bila lawyer kushuhudia?
......Mhhhh! angalia usichonge mzinga tu...maana muonja asali........
Amicable settlement...
muonja asali haachi kujilamba.
....hurudia rudia kujilamba lamba vidole vyake na kutaka kuchovya tena vidole vyake ndani ya asali ili aendelee kufurahia utamu wa asali.
....hurudia rudia kujilamba lamba vidole vyake na kutaka kuchovya tena vidole vyake ndani ya asali ili aendelee kufurahia utamu wa asali.
Nimeeleza hapo juu Koku,
Enzi zetu ilikuwa ni utani na pia tulikuwa tunatumia njia hiyo kuwalinda form 1 wasinyanyaswe na form 2. Kwa hiyo mtu ulikuwa unachagua form 1 anakuwa mtoto wako...Unamwita form 1 wangu au mswaki wangu!! Basi....nothing else!!
Haki ya nanai, sijawahi kuhisi kwamba ME anaweza si tu kuuwasha moto wangu bali hata kuvuta macho yangu....
Ngoja niishie hapo ili nisiharibu hamu yangu....mwenzio sijapata dinner!!
inawezekana.Mnakusudia kusema ulezbo pia ni asali?
Umeonaee babu. CHANYA KWA HASI BWANA.
Karibu toke kwa kuku. Mi ndo niko mezani. Tuanze hiki babu afu ukiandaliwa chako tutaendelea
Next time tutakuja. Kwa sasa tumerudi Pristine State... 🙂JF rules haziruhusu amicable settlement. Gombaneni upya halaf nipatanishe
inawezekana.
Usitukane mamba NN!!
Inaweza kua ni ukweli kwake na bado ikawa sio ukweli kwa wanawake wengine. Nadhani ndio maana Husninyo kasema kua inawezekanaSiyo kwamba inawezekana tu, ila ndo ukweli...
Kwani hamkusoma ushuhuda wa Marytina???
Mnataka nini zaidi au nani aje kuwaeleza mmuamini??
Yaani, ni headache
niiviangalia vitukuu vyako hapa
nasikitika, ila bado naamini nafasi ya mama inacount