Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Kwa hiyo unacho pendekeza hapa ni kwamba kuna wanawake wengi wanashiriki hako kamchezo na Marytina kaja ku-beep tu hapa?

Kwa maelezo ya Boss,

Nasubiru wajukuu waendelee kumwaga ushuhuda.....

Ila wale waliopita boarding wametusimulia hadith ya kuiba test tubes za maabara ya kemia!!

Naamini mwakani tutakuwa na akina Marytina kibao watakaoamua kujivua gamba!!
 
mkuu huyu martina amezungumza 'mambo meengi kwa mafumbo'
kwa ufupi alichosema hapa ni kuwa 'amefurahia hiko kitendo'
na anaona 'kunasa' na raha za hiko kitendo...
sasa jiulize why kaja kusimulia hapa?
ni kwa sababu anajua kuna wengi wanafanya na wanajua 'raha' yake
kwa hiyo kaja kuwachokoza tu .....
wanawake wanajua kuwa hayo mambo kwao ni way too common kuliko tunavyodhania...

Aiseee,

Nasikia hata watawa wanapeana msaada...Kumbe ndo hivyo......!!
 
ila hapa kuna kitu nimejifunza
kumbe si kila kubakwa ni kubaya
unaweza kubakwa na kufurahia vile vile

Wewe dada Mkuu,

Kwani nani kabakwa hapa???

Halafu haya maneno ya kubwakwa mmeyaanzisha siku hizi...Sie enzi zetu dada akikupa mkono tu...ilitosha kuanza kuvutia kichakani!!

Ndo maana watoto wa siku hizi wanasubiri kuambiwa live na wasichana..sie tulifundishwa kusoma ishara zote kama viziwi!!
 
asifurahie wakati wifi alipiga mzigo mkali kuliko brother!!!
You must be kidding
hapa anatafuta wateja wapya maana wifi karibu anarudi mamtoni
@martyina: subiri tutakuPM hapa tunavunga tu
Kongosho... Kongosho...
 
kavaa viatu vya kaka yake!?. lakini kwa kuwa ulienjoy na kukata hamu basi ulikuwa usiku mzuri. kosa lako ni kuona unawaacha wakina figganigga wakihangaika na baridi ukafanya ufanyayo kiroho safi. ushauli wangu Tafuta kidumu(fuel tank). mia
 
ushuhuda wa martyna unaonesha hiyo kitu ni asali. Mi mwenyewe nishasumbuliwa sana na lesbians ila nashukuru nimevishinda vishawishi vyao.

Ukionja tu kuacha inakuwa ngumu si unajua chovya chovya humaliza nn? Bora usijaribu
 
Umekosa mengi sana Bro,

Yaani hapa Babu alikuwa anapokea implementation reports za kumwaga!!

Punguza muda wa kukaa kaunta na wewe!!

Nilikuwa busy babu na mafuriko mjukuu wako wa tandale samani zimeenda na maji zote.
 
Back
Top Bottom