Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Ndo mm nilikuwa nakunywa chai asubuhi nilikuwa na themos juu ya paa huku nikiripot jf.

dah niliiona ile mpwa....nikasema hapa kaaaz kweli kweli mwaka ujao JF lazima wakupe UMOD tu
 
Nilikuwa busy babu na mafuriko mjukuu wako wa tandale samani zimeenda na maji zote.


Mzee wa multipurpose najua hukamatiki...Mafuriko yakibana Tandale unakimbilia Temeke au Gongo la Mboto!!

Haya bwana...Pole lakini!!
 
Kumbe umesalimika? Yaan hapa nilikuwa najigaragaza shahidi Bishanga, nilijua ushasombwa na mafuriko... Umetokea dirishani au?
fidel jirani yangu masaki bana,hivi tuko spur tunakula henken,lo!tena we SL,mkome fidel!
 
Inawezekana huyo boyfriend wako ni JF member na atakuwa amesoma hapa. Ila akirudi inabidi na yeye umpe taarifa hizi ili uutue kabisa huo mzigo na nafsi yako iwe huru.......
 
Hata bila kupelekwa boarding anaweza kufanya, na wengine wanaenda boarding hawafanyi. Kila mtu ana namna yake ya kua.
Mi kinacho nifanya niendelee kumsubiri marytina ni kale kahali kakujifanya anasikitika huku alimtega mwenzie kwa kulala vila kufunika chuchu. lol
Kumbe hata Msichana mwenzako unaweza kumtega kwa chu--, mbona naye anazo ama sijakuelewa, mie nilizani mtego kwa wanaume tu!?
 
Back
Top Bottom