Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Mpwa kama nimekuona kwen TV upo juu yapaaa unasubiri hedikopta ije kukuokoa? lol
Ndo mm nilikuwa nakunywa chai asubuhi nilikuwa na themos juu ya paa huku nikiripot jf.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa kama nimekuona kwen TV upo juu yapaaa unasubiri hedikopta ije kukuokoa? lol
Ndo mm nilikuwa nakunywa chai asubuhi nilikuwa na themos juu ya paa huku nikiripot jf.
Una akili sana hebu rudisha uhusiano wangu na yy.
kwa hiyo wewe ni She?wee si nimekwambia yupo.
Hebu usije niwekea mchanga kitumbua changu nikaishia kujisajili kwa huyu morani wa kike
Very interesting............
Mbwa akichezea ngozi mwishowe huila, just thinking loud.
yy ndo nin Mkuu?
dah niliiona ile mpwa....nikasema hapa kaaaz kweli kweli mwaka ujao JF lazima wakupe UMOD tu
Nilikuwa busy babu na mafuriko mjukuu wako wa tandale samani zimeenda na maji zote.
Wazee wa fitna wasije sikia mpwa.
wapi iyo ilikuwa Hus?:shock:
Husn baby,hivi unajua TF naye ni lesbian? Au hajakwambia?
we mtoto kwa nini unaongea matusi?
fidel jirani yangu masaki bana,hivi tuko spur tunakula henken,lo!tena we SL,mkome fidel!Kumbe umesalimika? Yaan hapa nilikuwa najigaragaza shahidi Bishanga, nilijua ushasombwa na mafuriko... Umetokea dirishani au?
Hapo muulize yy
matusi ndio nin?
you need a whip.Hujambo lakini? Za mpwapwa?
Kumbe hata Msichana mwenzako unaweza kumtega kwa chu--, mbona naye anazo ama sijakuelewa, mie nilizani mtego kwa wanaume tu!?Hata bila kupelekwa boarding anaweza kufanya, na wengine wanaenda boarding hawafanyi. Kila mtu ana namna yake ya kua.
Mi kinacho nifanya niendelee kumsubiri marytina ni kale kahali kakujifanya anasikitika huku alimtega mwenzie kwa kulala vila kufunika chuchu. lol