Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Deskmate, Niliona kuna sehem wanakushutumu, wakiendelea kukushutumu nishtue nitumie umod wangu kuwanyamazisha
asante kwa sapoti lakini yameisha yale. nimemuomba msamaha, na yeye akanisamehe. alafu tukakumbatiana .
 
....hurudia rudia kujilamba lamba vidole vyake na kutaka kuchovya tena vidole vyake ndani ya asali ili aendelee kufurahia utamu wa asali.

Mnakusudia kusema ulezbo pia ni asali?
 
Nimeeleza hapo juu Koku,

Enzi zetu ilikuwa ni utani na pia tulikuwa tunatumia njia hiyo kuwalinda form 1 wasinyanyaswe na form 2. Kwa hiyo mtu ulikuwa unachagua form 1 anakuwa mtoto wako...Unamwita form 1 wangu au mswaki wangu!! Basi....nothing else!!

Haki ya nanai, sijawahi kuhisi kwamba ME anaweza si tu kuuwasha moto wangu bali hata kuvuta macho yangu....

Ngoja niishie hapo ili nisiharibu hamu yangu....mwenzio sijapata dinner!!

Umeonaee babu. CHANYA KWA HASI BWANA.
Karibu toke kwa kuku. Mi ndo niko mezani. Tuanze hiki babu afu ukiandaliwa chako tutaendelea
 
Umeonaee babu. CHANYA KWA HASI BWANA.
Karibu toke kwa kuku. Mi ndo niko mezani. Tuanze hiki babu afu ukiandaliwa chako tutaendelea

Hiyo ndiyo raha ya kuwa babu....wajukuu wanakuzunguka hadi raha..!!!

Sasa hawa walionza mapema namna hii, kugonganisha hasi na hasi wataweza kuenjoy wajukuu kama sie???

Babu DC!!
 
Siyo kwamba inawezekana tu, ila ndo ukweli...
Kwani hamkusoma ushuhuda wa Marytina???
Mnataka nini zaidi au nani aje kuwaeleza mmuamini??
Inaweza kua ni ukweli kwake na bado ikawa sio ukweli kwa wanawake wengine. Nadhani ndio maana Husninyo kasema kua inawezekana
 
Yaani, ni headache
niiviangalia vitukuu vyako hapa
nasikitika, ila bado naamini nafasi ya mama inacount

Kweli Dada Mkuu,

Ila vitoto vingine ni sikio la kufa......Hata ufanyeje...utadhani vilishasaini mkataba na shetani kabla ya kuzaliwa!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom