Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

we maritina jamani ndo nini hivi jamani, duuu kweli kuna mambo mie bila nje ndani hujanambia kitu...kuwa makini nasikia unaweza kuanza kuwachukia wanaume, maana wanawake wanakuwa na tender touch sana
 
Una akili sana hebu rudisha uhusiano wangu na yy.
Kumbe umesalimika? Yaan hapa nilikuwa najigaragaza shahidi Bishanga, nilijua ushasombwa na mafuriko... Umetokea dirishani au?
 
we maritina jamani ndo nini hivi jamani, duuu kweli kuna mambo mie bila nje ndani hujanambia kitu...kuwa makini nasikia unaweza kuanza kuwachukia wanaume, maana wanawake wanakuwa na tender touch sana
hapa unamshauri au unampotosha?? Uyu wasiwasi wake tu wala hajaduiwa, nothing penetrated into her vag...a mshenzi tu wa adabu na zaidi ata uyo kaka mtu si anazini nae na apo si ni dhmabi kwenda mbele, aache kutuzuga, nafikili abadili jina na ajiite (kichefuchefu matapishi) log off
 
ushuhuda wa martyna unaonesha hiyo kitu ni asali. Mi mwenyewe nishasumbuliwa sana na lesbians ila nashukuru nimevishinda vishawishi vyao.
Husn baby,hivi unajua TF naye ni lesbian? Au hajakwambia?
 
Hakuna dhambi kubwa wala ndogo hauna hofu ya MUNGU ndani yako ungekuwa na hofu ya MUNGU usingefanya ulichokifanya nenda kaungame kisha umpokee YESU awe bwana na mwokozi wa maisha yako
napokaa na kuiwazia dhambi ya kusagana
najihisi nina dhambi kumzidi OSAMA
 
Nilikuwa busy babu na mafuriko mjukuu wako wa tandale samani zimeenda na maji zote.

Mpwa kama nimekuona kwen TV upo juu yapaaa unasubiri hedikopta ije kukuokoa? lol
 
ushuhuda wa martyna unaonesha hiyo kitu ni asali. Mi mwenyewe nishasumbuliwa sana na lesbians ila nashukuru nimevishinda vishawishi vyao.

nimesema inawezekana ni asali maana aliyekuwa ananishawishi alionekana kuwa na network kubwa ya wasagaji na ni kama vile wanafurahia.

wapi iyo ilikuwa Hus?:shock:
 
Kweli kabisa na ndio mana twaletewa mafuriko manake zambi zimekuwa nyingi.

SL, Kwanza hujambo jamani?
tuseme kwamba ni wakati wa Nuhu sasa umefika...nani ataijenga safina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…