Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Wengine hapa tukifunguka ya moyoni hizo komputa zenu sijui simu
Zitalipuka mkifungua
Maana ni virusi tupu

Ndo maana mie nilikupongeza toka mwanzo
Eti wote malaika, jamani!
dear klorokwini
huwa nakuzimia sana ubaya upo kwenye jina lako tu.
Tatizo baadhi ya watu huwa wanapenda na wanaweza sana kutunza siri kwa kweli mimi siri hunitesaga dats why nafunguka then mnanikandia
 
Wengine hapa tukifunguka ya moyoni hizo komouta zenu sijui simu
Zitalipuka mkifungua
Maana ni virusi tupu

Ndo maana mie nilikupongeza toka mwanzo
Eti wote malaika, jamani!

hata mimi naamini nina visa vichache na vya kawaida kuliko wengi tuu sema udhubutu wa kuvisema umeniponza
 
Dada pole kwa yote na hongera kwa ushujaa wa kuja kusema humu. Wengi wetu tumeshafanya mambo ya ajali na aibu zaidi ya hayo lakini tumekaa kimya na sasa tunakuzodoa!!!

Kufanya kosa sio kosa, kosa ni kurudia kosa. Umeshajua kosa lako, nenda katubu kanisani au msikitini (Jina lako linaonyesha ni Mkristo) na jiepushe na mazingira yote yatakayokufanya utende kosa kama hilo tena.

Nasema tena, Bravo kwa kuwa na moyo wa kufungua moyo wako.
Ni wangapi kati yetu wamefanya makubwa zaidi ya hayo na tunakufa nayo miyoni mwetu?
 
raha jipe mwenyewe.....huna haja ya kuumza kchwa akati unasema raha ulpata....lesbian 2mezaliwa nao asa unafkr wao raha watapata ap???kama vp mpe hyo nafac aendeleeeeeeee
 
raha jipe mwenyewe.....huna haja ya kuumza kchwa akati unasema raha ulpata....lesbian 2mezaliwa nao asa unafkr wao raha watapata ap???kama vp mpe hyo nafac aendeleeeeeeee

No wonder this is your 1st. post! Conglatulations and Karibu JF
 
raha jipe mwenyewe.....huna haja ya kuumza kchwa akati unasema raha ulpata....lesbian 2mezaliwa nao asa unafkr wao raha watapata ap???kama vp mpe hyo nafac aendeleeeeeeee

jamani yaani umejisajiri tu ili uanze na hii post lol
 
@arusha, mama mchagga,baba mngoni.


my boyfriend /Ole MANIANIA yupo safarini (ubelgiji) na awali aliniambia atakuja likizo baada miezi mitatu baadae akanjulisha hawezi kuja Tz kutokana na ukata may be baada ya miezi sita

imepita miezi mitano mdogo wake wa KIKE (baba mmoja mama tofauti) ni rafiki yangu wa siku nyingi karudi likizo.Ikawa tumetoka wote ilikuwa mwezi wa kumi jumamosi kuhudhuria harusi flani, tulichelewa kurudi home ikabidi alale kwangu.

Tukaoga fasta akachukua manukato anayotumia kaka yake akajipulizia kuingia kitandani kutafuta usingizi akaniuliza KWA NAMNA GANI NAVYOMMISS KAKA YAKE, akaniambia anatamani kuwa Ole MANIANIA, mara akaniwekea mkono kwenye ziwa na kuanza kuli........NIKAPANDWA HASIRA ila akanisihi ni try to imitate she is ole MANIANIA, hilo lilikuwa kosa kubwa manake as nilipobeep to imitate nikajikuta nimemvutia mdomoni denda denda,nyonyana ulimi, mpaka tukatimiza vifungu vyote


My take:Hiki kisa nimekuvumila ila ni bora nikiseme ili kinitoke kichwani kwani kinanitesa
note:Mdogo wake wa kike na sii wa kiume

Kwa hiyo kwa ufupi wifi yako aliku-du!
 
Bishanga, una habari yoyote ya Eliza wa Tegeta? alipona mafuriko?

Mwali, umeshamjua Eliza wa Tegeta? dah

Join Date : 9th November 2011

Location : Ushongo Mabaoni, Tanga
Posts : 551
Rep Power : 1796
 
Unasema ulisikia raha; si ndicho ulichokuwa unakitafuta? Kama huyo BF wako hajarudi na ukame unakusumbua, endelea kuridhishana na wifi yako ambaye inaonekana ni msagaji mzoefu, hakuanzia kwako. Ukizoea kusagwa, hutaona tena haja ya penetration ya dume, utataka kuendeleza huo ubazazi mnaofanyiana na huyo wifiyo dumejike, utaathiri mahusiano yako na BF wako na maisha yako ya mahusiano ya mke na mme; kazi kwako.
 
imagine una miezi mitano bila ku.... then mtu anajipulizia manukato ya mpenzi wako kisa unakushawishi wewe to imitate kuwa yeye ni ni BF wako, UNAKOSEA UNAKUBALI TO IMITATE yaan hata ingekuwa wewe ungenasa
hiyo perfum inaitwaje na mm nijipulizie hlf nikushawishi ,,,,hata mm nina miezi mingi gf wangu naye kasafiri.
 
as long umeshaisema..utaisahau...
merry x.mass & happy new year
 
Back
Top Bottom