Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Wengine hapa tukifunguka ya moyoni hizo komputa zenu sijui simu
Zitalipuka mkifungua
Maana ni virusi tupu
Ndo maana mie nilikupongeza toka mwanzo
Eti wote malaika, jamani!
Zitalipuka mkifungua
Maana ni virusi tupu
Ndo maana mie nilikupongeza toka mwanzo
Eti wote malaika, jamani!
dear klorokwini
huwa nakuzimia sana ubaya upo kwenye jina lako tu.
Tatizo baadhi ya watu huwa wanapenda na wanaweza sana kutunza siri kwa kweli mimi siri hunitesaga dats why nafunguka then mnanikandia