dear klorokwini
huwa nakuzimia sana ubaya upo kwenye jina lako tu.
Tatizo baadhi ya watu huwa wanapenda na wanaweza sana kutunza siri kwa kweli mimi siri hunitesaga dats why nafunguka then mnanikandia
Wengine hapa tukifunguka ya moyoni hizo komouta zenu sijui simu
Zitalipuka mkifungua
Maana ni virusi tupu
Ndo maana mie nilikupongeza toka mwanzo
Eti wote malaika, jamani!
Bishanga, una habari yoyote ya Eliza wa Tegeta? alipona mafuriko?
raha jipe mwenyewe.....huna haja ya kuumza kchwa akati unasema raha ulpata....lesbian 2mezaliwa nao asa unafkr wao raha watapata ap???kama vp mpe hyo nafac aendeleeeeeeee
MJ1 dogo ni wa kike ina maana hawa ni malesbo ,mungu wangu Marytina kila iku hauishi vituko,kua uyaoneYaani shemejio ukalale naye kitanda kimoja?? Kwako huna makochi sebuleni? Marytina ama kweli
raha jipe mwenyewe.....huna haja ya kuumza kchwa akati unasema raha ulpata....lesbian 2mezaliwa nao asa unafkr wao raha watapata ap???kama vp mpe hyo nafac aendeleeeeeeee
No wonder this is your 1st. post! Conglatulations and Karibu JF
Slumber parties?
@arusha, mama mchagga,baba mngoni.
my boyfriend /Ole MANIANIA yupo safarini (ubelgiji) na awali aliniambia atakuja likizo baada miezi mitatu baadae akanjulisha hawezi kuja Tz kutokana na ukata may be baada ya miezi sita
imepita miezi mitano mdogo wake wa KIKE (baba mmoja mama tofauti) ni rafiki yangu wa siku nyingi karudi likizo.Ikawa tumetoka wote ilikuwa mwezi wa kumi jumamosi kuhudhuria harusi flani, tulichelewa kurudi home ikabidi alale kwangu.
Tukaoga fasta akachukua manukato anayotumia kaka yake akajipulizia kuingia kitandani kutafuta usingizi akaniuliza KWA NAMNA GANI NAVYOMMISS KAKA YAKE, akaniambia anatamani kuwa Ole MANIANIA, mara akaniwekea mkono kwenye ziwa na kuanza kuli........NIKAPANDWA HASIRA ila akanisihi ni try to imitate she is ole MANIANIA, hilo lilikuwa kosa kubwa manake as nilipobeep to imitate nikajikuta nimemvutia mdomoni denda denda,nyonyana ulimi, mpaka tukatimiza vifungu vyote
My take:Hiki kisa nimekuvumila ila ni bora nikiseme ili kinitoke kichwani kwani kinanitesa
note:Mdogo wake wa kike na sii wa kiume
Bishanga, una habari yoyote ya Eliza wa Tegeta? alipona mafuriko?
hiyo ilikuwa ya no string attached ww mrembo.Inawezekana huyo boyfriend wako ni JF member na atakuwa amesoma hapa. Ila akirudi inabidi na yeye umpe taarifa hizi ili uutue kabisa huo mzigo na nafsi yako iwe huru.......
hiyo perfum inaitwaje na mm nijipulizie hlf nikushawishi ,,,,hata mm nina miezi mingi gf wangu naye kasafiri.imagine una miezi mitano bila ku.... then mtu anajipulizia manukato ya mpenzi wako kisa unakushawishi wewe to imitate kuwa yeye ni ni BF wako, UNAKOSEA UNAKUBALI TO IMITATE yaan hata ingekuwa wewe ungenasa
Tusamehe bana wengine akili zetu za kugandisha na mate, upepo ukipita tu, zimeganduka.
Tumeshaelewa sasa.