Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

sijui ni vipi lakini naona kuwa
wadada wanapokuwa wawili peke yao
kitandani wengi wao huishia kupapasana na zaidi ya hapo...
inaonekana sex kati ya wadada kwa wadada iko saana lakini
inafanywa kama sio common ki hivyo..

...Mie kuna mdada hivi karibuni alinihadithia kuhusu party zinazofanywa na wadada katika jiji la Dar tena wengi wao ni wake za watu. Party hizi ni za wanawake watupu na hakuna cha zaidi wanachokifanya katika party hizo ila ni hii shughuli nzito ya ulesbian. Nilibaki mdomo wazi kusema kweli.
 
my dear, na hii niliiona boarding kwa sana, na mabifu ya kunyang'anyana kabisa watu wanagombea basha! lakini trust me, huwa wana-pretend kama alivyosema riwa hapo juu. kuna mmoja tulikuwa same class, alikuja kuolewa marekani, after a year wameachana. we ar still friends, u cant tell kama ana kitabia hicho na hamuongelei mumewe hata siku moja. recently ameanza kuhang na mdada waliekuwa wanasagana tukiwa o-level, na huyo mdada ni single mother. tuna urafiki wa kistaarabu we never pry on each other's business, lakini for them going camping together ni kawaida. nikipata invitation i politely decline, maisha yanaendelea

Kumbe huko boarding ndo yatokeayo hayo? Ndo maana wajanja tuligoma kwenda kusoma huko.
 
Kuna mahali naomba udadanue kidogo ........tukatimiza vifungu vyote..mhhhhh!!!!!! unamaanisha nini..kusagana kisha mkatimiza vifungu vyote? nadhani ndi maana watu wanaamini ni shemeji si wifi...........ama badu ...........akapuliza pafyumu YA KAKA YAKE..(Japo kiingereza sanifu ni cologne maana pafyum ni zile za kike) ..dadavua na hapa maana pana swaaaaaali KUBWAAAA

kila kitu kinasomeka na kueleweka wazi sjui ni kipi usichoelewa
 
...Mie kuna mdada hivi karibuni alinihadithia kuhusu party zinazofanywa na wadada katika jiji la Dar tena wengi wao ni wake za watu. Party hizi ni za wanawake watupu na hakuna cha zaidi wanachokifanya katika party hizo ila ni hii shughuli nzito ya ulesbian. Nilibaki mdomo wazi kusema kweli.

Slumber parties?
 
mwali wewe, hapo sio wifiye pekee, hata yeye! walishiriki wote kwa pamoja, kiswahili tu ndo kinabagua. si unaona anasema ali-enjoy?
Mwali we naona bora nirudi darasani maana siku hizi akili imelala haielewi hata kakitu kadogo.

Mzima lakini? nimekumissije? Karibu X-mas bana
 
kama umesoma boarding utakuwa sio mkweli kukubali hili
ni too common kuliko unavyofikiria
kwenye mahosteli ya wadada wapo ambao wanaitana kabisa
mtu na mkewa.ingawa wote waweza kuwa na ma boyfriend pia
mmmhhh???
Wacha ku-generalize bwana! too common maana yake nini?
Pole Marityna...
 
usizunguke zunguke hapa. inamaana ungekuwa na shemeji yako wa kiume akasema tu imitate, ungeingia hiyo imitation?. halafu huoni aibu kusema aliyeanza ni nani. inanikumbusha kitabu cha mwanzo, wakati wa anguko la mwanadamu- eti yeye ndiye alianza

ningefikaje naye Kitandani???
 
Marytina, labda nikuulize kidogo maana nashindwa kuamini kua hukujua kitakacho tokea:
Mlipoingia kitandani kulala, ulikua umevaa? maana inaonekana alifikia chuchu laki kiurahisi tu...
 
Marytina mie siku hizi nakufananisha sana na Nazjaz.( utanisamehe bt huo ndio ukweli halisi ) manake ukipotea ukirudi una story za ajabu, ajabu. Hazina tofauti na za Nazjaz.
 
Marytina, labda nikuulize kidogo maana nashindwa kuamini kua hukujua kitakacho tokea:
Mlipoingia kitandani kulala, ulikua umevaa? maana inaonekana alifikia chuchu laki kiurahisi tu...

Teh teh teh...eti alifikia chuchu kirahisi....wewe za kwako ukiwa unaenda kulala unazifungia?
 
Marytina, labda nikuulize kidogo maana nashindwa kuamini kua hukujua kitakacho tokea:
Mlipoingia kitandani kulala, ulikua umevaa? maana inaonekana alifikia chuchu laki kiurahisi tu...
Mwali mie nakusalimu tu.
 
Teh teh teh...eti alifikia chuchu kirahisi....wewe za kwako ukiwa unaenda kulala unazifungia?
Navaa night dress kaka yangu. Hata kama kuna joto, ikiwa nalala na mtu, tena ugenini, nadhani ningevaa hata kanga basi...
 
Back
Top Bottom