BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
sijui ni vipi lakini naona kuwa
wadada wanapokuwa wawili peke yao
kitandani wengi wao huishia kupapasana na zaidi ya hapo...
inaonekana sex kati ya wadada kwa wadada iko saana lakini
inafanywa kama sio common ki hivyo..
...Mie kuna mdada hivi karibuni alinihadithia kuhusu party zinazofanywa na wadada katika jiji la Dar tena wengi wao ni wake za watu. Party hizi ni za wanawake watupu na hakuna cha zaidi wanachokifanya katika party hizo ila ni hii shughuli nzito ya ulesbian. Nilibaki mdomo wazi kusema kweli.