hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
wanajifanyaga wanajua'' kumbe kichwani ni empty set"... walikuwa wapi wakati yondo sister ", soukus star".. na kina gatho" walipokuwa wanachomoka sentensi za kiswahili katika nyimbo zao".... mpaka leo hii wanaibuka tena bila hata mshipa wa aibu kupinda" nakuanza kusema kuwa diamond ndio amekipa power kiswahiliWatoto wa juzi hao, ukiwaambia ukweli watakwambia una wivu au watakuita jina la mtu mwingine. Mambo ya ajabu sana.