hiki kiswahili cha RICK ROSS sikielewi

hiki kiswahili cha RICK ROSS sikielewi

Watoto wa juzi hao, ukiwaambia ukweli watakwambia una wivu au watakuita jina la mtu mwingine. Mambo ya ajabu sana.
wanajifanyaga wanajua'' kumbe kichwani ni empty set"... walikuwa wapi wakati yondo sister ", soukus star".. na kina gatho" walipokuwa wanachomoka sentensi za kiswahili katika nyimbo zao".... mpaka leo hii wanaibuka tena bila hata mshipa wa aibu kupinda" nakuanza kusema kuwa diamond ndio amekipa power kiswahili
 
Wengi wao walikuwa bado wadogo sana, hata ukiwatajia jina la Vivien Gatho hawawezi kumjuwa. Ila tuwasamehe bure hao ni wadogo zetu hao.
 
Back
Top Bottom