Hiki kiswahili ni cha wapi?

Hiki kiswahili ni cha wapi?

Msamiati huanzishwa na matumizi yake yanavokua basi hurasimishwa ktk matumizi.
 
Nilikua nasikiliza redio moja hivi ya FM nikasikia maneno yafuatayo
"full mzuka"
"Akampa vitasa"
"Kiroho safi"
"Arachuga"
"Mzeya"
"Amesepa"
hii lugha itakuwa inafananaje baada ya miaka kumi?

Jibu ni kwamba hicho sio kiswahili.
 
Nilikua nasikiliza redio moja hivi ya FM nikasikia maneno yafuatayo
"full mzuka"
"Akampa vitasa"
"Kiroho safi"
"Arachuga"
"Mzeya"
"Amesepa"
hii lugha itakuwa inafananaje baada ya miaka kumi?

Kwani neno UKARABATI lilianzeje..??
 
Back
Top Bottom