"Tisha mbaya" !!!!?????? unahitaji bakora
Mkuu usijeniadhibu bure, mimi nilikua natoa mifano tu kukazia hoja ya mleta mada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Tisha mbaya" !!!!?????? unahitaji bakora
Nilikua nasikiliza redio moja hivi ya FM nikasikia maneno yafuatayo
"full mzuka"
"Akampa vitasa"
"Kiroho safi"
"Arachuga"
"Mzeya"
"Amesepa"
hii lugha itakuwa inafananaje baada ya miaka kumi?
Nilikua nasikiliza redio moja hivi ya FM nikasikia maneno yafuatayo
"full mzuka"
"Akampa vitasa"
"Kiroho safi"
"Arachuga"
"Mzeya"
"Amesepa"
hii lugha itakuwa inafananaje baada ya miaka kumi?
Yeah kama chewa teh teh!!
Chewa duh hiyo ina maana gani?