Hiki kitu hakiwakeri wadada

🤣🤣🤣

Shemeji huyo shoga angu ana kasura kake kazuri sana
Wazungu wanaitaga babyface
Shemeji wewe unanipiga sana.

Mara ana kishundu, nikiomba unaniambia ngoja utafute iliyotokelezea. Mara uniambie ana baby, mpaka ukampige make up tena.

Depal karidhika na sura yake personal.
 
Shemeji wewe unanipiga sana.

Mara ana kishundu, nikiomba unaniambia ngoja utafute iliyotokelezea. Mara uniambie ana baby, mpaka ukampige make up tena.

Depal karidhika na sura yake personal.
Shemeji niamini mimi

Hiyo pisi imekamilika kila idara au basi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko wee unataka wa primary?? Lol
 
Mgosi ni hisia zako humu kuna wabichi kabisa
 
Mkuu acha udhalilishaji wa kijinsia,gender discrimination ni racism mbaya pia,halafu kila siku mnalaumu sijui Wazungu,Waarabu mara Wahindi eti wanawabagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…