BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Ni fedheha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekufanyaje Babu kwani wewe mfupi??Daah mmetuchoka kiasi hiki?
Mungi anawaona wewe na Unique Flower
Rubbish.Weka evidence ya kile unakisema...
Mimi sio mfupi lakini ninapoona wanaume wenzangu wanatukanwa sipendi kabisaNimekufanyaje Babu kwani wewe mfupi??
Wao kila Siku wanatusema tunaweka avatar nzuri alaf sura zetu halisi ni mbaya basi na mie nikaamua kuwakomeshaWalikufanyia nini unawakandia kisasi hiki rafiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulikutana na vidudu mtuu? Aseeeh humu wako ma handsome pia.Me Nina bahati mbaya sema Nina bahati nzuri pia.
Hapanaaa hawatakiwiiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akina cheupe vitambi na wafupi siku hizi hawatakiwi?
Poaaaaaah!!Usijali aunt [emoji23] nitakuwa nakutag
Vidudu haswaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulikutana na vidudu mtuu? Aseeeh humu wako ma handsome pia.
Sema tukupe koneksheni ya wanaume wakali dada [emoji13]
Huwezi kuondoa ubaya kwa ubaya.Wao kila Siku wanatusema tunaweka avatar nzuri alaf sura zetu halisi ni mbaya basi na mie nikaamua kuwakomesha
Haujakosea! Humu tumejaa wadada tuliomaliza vyuo na masingle mama kwasababu Jukwaa hili lilikuwa Mahususi kwa wale Great thinker kwaajili ya Kuchambua na kuelekezana mambo makubwa ya Kimaisha! Mademu wabichi wako Vyuoni na Sekondari hukooo!Kiukweli sjawahi kudate na Mwanamke wa jf ever...ninachoamin humu kuna wadada wale wazoefu hasa wa maisha na kilometres zao zmeenda sana.
Mimi i never expect kukutana na mdada mbichi humu ..huo ndo ukwel humu yamejaa madem yaliyomaliza vyuo na single mama..
😂😂😂😂 njoo pm nikumwagie listSasa kwanini na mimi hutak kunipa
Ebo wawe na heshima mwanaume ndio awe anajitambua kuanzia heshima , angalie anavyoongea sio akutukane mf. Unique Flower ni muadhirika ebo eti tukae kimya tu kisaa. Mwaga ugali na SI tunamwaga mboga nyima unyumba nasisi hivyo hivyoo tunaenda kumpa barakaHuwezi kuondoa ubaya kwa ubaya.
Unapowakandia unajiharibia ...huenda mumeo yuko huku bila wewe kujua.
Acha watukane wewe usibadilishwe na mtu
Kweli ya 2019 kudi nyumaHaujakosea! Humu tumejaa wadada tuliomaliza vyuo na masingle mama kwasababu Jukwaa hili lilikuwa Mahususi kwa wale Great thinker kwaajili ya Kuchambua na kuelekezana mambo makubwa ya Kimaisha! Mademu wabichi wako Vyuoni na Sekondari hukooo!
Utoto ndo unaowasumbua kuanza kujadili mionekano nk! But all matured hawafanyi huo ujinga!! Ninaimis sana JF ya Enzi zile ilivyokuwa Smart