Hiki kitu hakiwakeri wadada

Hiki kitu hakiwakeri wadada

Wao kila Siku wanatusema tunaweka avatar nzuri alaf sura zetu halisi ni mbaya basi na mie nikaamua kuwakomesha
Huwezi kuondoa ubaya kwa ubaya.
Unapowakandia unajiharibia ...huenda mumeo yuko huku bila wewe kujua.
Acha watukane wewe usibadilishwe na mtu
 
Kiukweli sjawahi kudate na Mwanamke wa jf ever...ninachoamin humu kuna wadada wale wazoefu hasa wa maisha na kilometres zao zmeenda sana.

Mimi i never expect kukutana na mdada mbichi humu ..huo ndo ukwel humu yamejaa madem yaliyomaliza vyuo na single mama..
Haujakosea! Humu tumejaa wadada tuliomaliza vyuo na masingle mama kwasababu Jukwaa hili lilikuwa Mahususi kwa wale Great thinker kwaajili ya Kuchambua na kuelekezana mambo makubwa ya Kimaisha! Mademu wabichi wako Vyuoni na Sekondari hukooo!
Utoto ndo unaowasumbua kuanza kujadili mionekano nk! But all matured hawafanyi huo ujinga!! Ninaimis sana JF ya Enzi zile ilivyokuwa Smart
 
Huwezi kuondoa ubaya kwa ubaya.
Unapowakandia unajiharibia ...huenda mumeo yuko huku bila wewe kujua.
Acha watukane wewe usibadilishwe na mtu
Ebo wawe na heshima mwanaume ndio awe anajitambua kuanzia heshima , angalie anavyoongea sio akutukane mf. Unique Flower ni muadhirika ebo eti tukae kimya tu kisaa. Mwaga ugali na SI tunamwaga mboga nyima unyumba nasisi hivyo hivyoo tunaenda kumpa baraka
 
Haujakosea! Humu tumejaa wadada tuliomaliza vyuo na masingle mama kwasababu Jukwaa hili lilikuwa Mahususi kwa wale Great thinker kwaajili ya Kuchambua na kuelekezana mambo makubwa ya Kimaisha! Mademu wabichi wako Vyuoni na Sekondari hukooo!
Utoto ndo unaowasumbua kuanza kujadili mionekano nk! But all matured hawafanyi huo ujinga!! Ninaimis sana JF ya Enzi zile ilivyokuwa Smart
Kweli ya 2019 kudi nyuma
 
Back
Top Bottom