Hiki kitu hakiwakeri wadada

Hiki kitu hakiwakeri wadada

Ebo wawe na heshima mwanaume ndio awe anajitambua kuanzia heshima , angalie anavyoongea sio akutukane mf. Unique Flower ni muadhirika ebo eti tukae kimya tu kisaa. Mwaga ugali na SI tunamwaga mboga nyima unyumba nasisi hivyo hivyoo tunaenda kumpa baraka
Hivi mwanangu kuna siku huwazagi ngono?🤣🤣🤣🤣
Unatisha sana mwamba...unapenda kunyanduana sana eee...lazima utamke hili tu?😅😅
 
Hivi mwanangu kuna siku huwazagi ngono?🤣🤣🤣🤣
Unatisha sana mwamba...unapenda kunyanduana sana eee...lazima utamke hili tu?😅😅
Ungenisaidia kuwaonya ingekuwa. Sawa ila wewe hapo unawaunga mkono
 
Tusome thread
Tuzijibu
Ila achana na habari za wanawake wenye fake id’s wa jamii forum.
Hao wanaotoa sifa waacheni watoe.
Usithubutu!! Ewe mwanaume humu unayeelewa. Waponde tu kama unaweza.😂😂😂
Yaani moto wa jehanamu unakusuburia wewe tu Mungu aumbe mwenyewe Kwa mikono yake halafu uwapondee
 
Unauhakika wanawake wabaya km wewe wamekubali uwe msemaji wao ama umejichukulia sheria tu
 
Ukweli ni kwamba ni ngumu sana kukutana na mdada ama mwanamke mrembo humu,JF inakaribisha wanawake flani wabovu afu mabonge kazi kutusumbua na nyuz za ngono afu kwa ground hamna hata wa kuwatongoza huko mashamban kwnu
 
Wanawake wa Huku nikiwafuata PM wanasema mm mtoto maana nimezaliwa 90+ huku Kuna wabibi tu wa 50+
 
Kiukweli sjawahi kudate na Mwanamke wa jf ever...ninachoamin humu kuna wadada wale wazoefu hasa wa maisha na kilometres zao zmeenda sana.

Mimi i never expect kukutana na mdada mbichi humu ..huo ndo ukwel humu yamejaa madem yaliyomaliza vyuo na single mama..
Endelea kuamini hivyo hivyo kiongozi.
 
Mwanamke anatakiwa kuwa mzuri no mara waaah. Mwanaume haringi wala hatakiwi kutambia uzuri. Uzuri wa mwanaume sio sura bali ni uwezo wake wa uchumi na kujimudu.

Ingekuwa ni uzuri basi hata Beyonce asingekuwa na Jay Z maana jamaa nae anasura kama goti la ngamia ni pesa tu.

Upendo huvumilia yote...
Jay Z na lile domo angekuwa Unique Flower angemkataa kabisa yaani muonekano wa nje sio ishu ishu ni upendo tu na mafanikio na baraka zote zitakuja tu.
 
Kweli ya 2019 kudi nyuma

JF ilikuwa ya 2010 mpaka 2016 sasa hivi wamejaa watoto wa Fesibuku na Ma Great Thinker wote wameamua kupumzika. Nakumbuka mwaka 2012 niliitwa na Great Thinker pale Level 8 Bar Kilimanjaro Hotel aisee sikuamini kumbe jamaa ni Dr Uingereza na hapa ana Hospital zake na yeye hakuamini kwa umri ule nilikuwa naandika vitu kama vile.
 
Back
Top Bottom