Hiki kizazi kinadumazwa akili sababu ya Muziki wa Bongofleva

Hiki kizazi kinadumazwa akili sababu ya Muziki wa Bongofleva

Pole Sana haya yote uliyoyaandika sababu ya kusikiliza bongo fleva ungekuwa mtu wa reggae au Hip Hop usingejibu hiyo, hujui hata maana ya Get up stand up stand up for your right
What the fvc fun dude kwamba wewe ndio unazijua sana Hit em up,in da club
Buffalo Soldier,Zimbabwe,Masada, Jerusalem na kina Bob,Alfa,Lucky, Burning spear ni washkaji zako saaaana ulicheza nao utotoni au Sio?😁😁

Halafu hayo ma song yalikua na vibe zama za Apartheid huko leo nani umwimbie fighting for freedom akuelewe kwani unadhani watu wapo kwenye movement za FRELIMO na ANC kwa Madiba Free Mandela?

Hiki ni kizazi cha Zuchu na Jay Melody acha kujisahaulisha kumbuka hatutumii cassette tape tupo na Online stream now says kwani unakwama wapi Babu?
😁😁
 
SSaw
Mzee fanya mambo Yako yaani Mimi nisimsikilize harmonize au rayvanny kisa wewe maisha yamekupiga umeshindwa nini Cha kufanya unaalua kutoa mapovu wewe amabae hausiklizi mziki umefanya nini la maana pambana na umasikini wako Kila mtu kaja kivyake duniani hapa
Hata wewe siku moja utakuwa mzee na mimi ulikuwa kijana kama wewe lakini ujana wangu nimeutumia vizuri, sikusuka nywele,sikutoboa masikio wala pua, sikuchora tattoo,na wala sikujifanya kama mwanamke eti niishie kuliwa kibogo niitwe shoga,nilifanya kazi ngumu bila kuchagua yaani sikuwa mrainimaraini mpaka leo niko freshi nikikutia gwara lazima uanguke
 
m
Si

Sikiliza Roots rock raggae
Mziki umebeba dhima ya maisha

jaribu kuupa sikio usijifungie sehemu moja mkuu

mziki utakuchukua kihisia (utakuburudisha au utakuhuzunisha), utakuelimisha, utakuhamasisha vyote hivyo unavipata kwenye mziki

mimi kama muumini wa mziki nimesema unahoja usikilizwe niko nasubiri umjibu Dumas kama siyo
kumuelewesha alafu sasa mtembee kwa hoja

why nimejibu comment yake moja kwa moja ameattack sana (nguvu kubwa jambo dogo)
 
What the fvc fun dude kwamba wewe ndio unazijua sana Hit em up,in da club
Buffalo Soldier,Zimbabwe,Masada, Jerusalem na kina Bob,Alfa,Lucky, Burning spear ni washkaji zako saaaana ulicheza nao utotoni au Sio?😁😁

Halafu hayo ma song yalikua na vibe zama za Apartheid huko leo nani umwimbie fighting for freedom akuelewe kwani unadhani watu wapo kwenye movement za FRELIMO na ANC kwa Madiba Free Mandela?

Hili ni kizazi cha Zuchu na Jay Melody acha kujisahaulisha kumbuka hatutumii cassette tape tupo na Online stream now says kwani unakwama wapi Babu?
😁😁
Kama hujui sasa Vampire Kaja kwa stairi nyingine mtakwisha vijana na mnakwisha
 
Anatulendea uwanda wazimu wake hapa....
Chaaapati....cha pa ti
Dula dula dula
Anataka kula
Dula hataki andazi
Anataka chapati. Cha pa ti🎶🎶🔊
Kitu flati, kitu laini, katikati aliye na maini
Kitu flati kitu laini, katikati aliye na maini

Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti🎶🎶🔊
 
SSaw

A

Hata wewe siku moja utakuwa mzee na mimi ulikuwa kijana kama wewe lakini ujana wangu nimeutumia vizuri, sikusuka nywele,sikutoboa masikio wala pua,sikuchora tattoo,na wala sikujifanya kama mwanamke eti niishie kuliwa kibogo niitwe shoga,nilifanya kazi ngumu bila kuchagua yaani sikuwa mrainimaraini mpaka leo niko freshi nikikutia gwara lazima uanguke
Pambana na maisha Yako hamna mtu wa kuja kujitoa Ili wewe uishi yaani kabisa unakaa unalaumu watu ambao umekutana nao duniani hivi unaakili kweli au ndio ushakua shoga maana Sasa hivi mashoga mpo wengi sana Tanzania
 
Pambana na maisha Yako hamna mtu wa kuja kujitoa Ili wewe uishi yaani kabisa unakaa unalaumu watu ambao umekutana nao duniani hivi unaakili kweli au ndio ushakua shoga
Mkuu basi....jishushe...
 
Mkuu basi....jishushe...
Siwezi kujishusha Kwa jitu ambalo halina marinda linakuja kulaumu watu ambao hahaha nao duniani kaja kivyake na hawana undugu nae umasikini wake anafikiri Kila mtu ni njaa kama yeye
 
''Ukitaka kuijua jamii yoyote angalia sanaa yake.''

Ila kiongozi hivi umeisikiliza Ujana ya Harmonize kweli?. Ni bonge la nyimbo limetulia sana.

Mimi bado naisikiliza sana Bado Nipo Nipo ya Mwana FA na Baadae Sana ya Mabeste zinasaidia sana kuwa kada mtiifu wa KATAA NDOA

Ndio maana hiphop haipewi promo kwenye radio stations, mfumo hauwezi kubali kujihatarisha hivyo. Anyway NAchapa Viboko na kaka mkubwa 009
 
Bila kufichai Tasnia ya
Mziki hubeba ujumbe na nafasi kubwa Sana katiba jamii husika,

Kinyume chake ikienda tofauti basi hiyo jamii huathirika kwa namna moja au nyingine,mfano bongo fleva imewahalibu vijana wengi wanaoufwatilia washindwe kujitambua wao ni kina nani,na wananafasi gani hapa duniani.
yaani niseme wapowapo tu,hawajui haki zao wala thamani yao,ndiyo maana wamegeuka kuwa chawa wa Viongozi,na watawala,

Huwezi kufananisha na kizazi kinachosikiliza reggae kwani wanazijua haki zao na wanajitambu kutokana na mashairi kwani mara nyingi yanapingana na selikali kandamizi na dhalimu
Hasahasa singeli
Hakuna mziki nisioupenda kama singeli
 
Wewe Mzee nae acha pigo hizo kuna vijana ni walaini wanasuka kama dada Aisha Wana tattoo,Wanabana pua Acc zao zejaa mabillion ya shillingi,wanadrive mashangingi ambayo hujawi kuota kuyapanda ,
Wamekuzidi Akili,Hela, Exposure na mambo kibao na ukikutana nao wakakukata mitama live na huwawezi na ugumu wako wa Mwaka sabina sita,
Mambo kwa ground ni tofauti sana au unawaona kwenye makamera unadhani kwenye real life wapo kama unavyowaona kwenye Video TV hapo sebuleni kwako?
😂😂😂
 
Pambana na maisha Yako hamna mtu wa kuja kujitoa Ili wewe uishi yaani kabisa unakaa unalaumu watu ambao umekutana nao duniani hivi unaakili kweli au ndio ushakua shoga maana Sasa hivi mashoga mpo wengi sana Tanzania
Toka lini msikiliza Reggae akawa shoga au akawataka mashogo hiyo inaitwa spiritual music,unakataza machafu,siyo nyie vijana wa sasa hivi
 
Bila kufichai Tasnia ya
Mziki hubeba ujumbe na nafasi kubwa Sana katiba jamii husika,

Kinyume chake ikienda tofauti basi hiyo jamii huathirika kwa namna moja au nyingine,mfano bongo fleva imewahalibu vijana wengi wanaoufwatilia washindwe kujitambua wao ni kina nani,na wananafasi gani hapa duniani.
yaani niseme wapowapo tu,hawajui haki zao wala thamani yao,ndiyo maana wamegeuka kuwa chawa wa Viongozi,na watawala,

Huwezi kufananisha na kizazi kinachosikiliza reggae kwani wanazijua haki zao na wanajitambu kutokana na mashairi kwani mara nyingi yanapingana na selikali kandamizi na dhalimu
Them belly is full but we hungry_-_From the living legend B.O.B MR MARLEY rest is LEGENDARY
Daaaah sure man
 
Chaaapati....cha pa ti
Dula dula dula
Anataka kula
Dula hataki andazi
Anataka chapati. Cha pa ti🎶🎶🔊
Kitu flati, kitu laini, katikati aliye na maini
Kitu flati kitu laini, katikati aliye na maini

[Chorus]
Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti
Chapati, cha-pa-ti🎶🎶🔊
Nimecheka Sana yaani mwanaume mzima anakaa anasikiliza nyimbo kama hii
 
Ni heri kukaa kimya kuepusha ukoo wako na aibu ndogo ndogo
 
Back
Top Bottom