Hiki kizazi kinadumazwa akili sababu ya Muziki wa Bongofleva

Hiki kizazi kinadumazwa akili sababu ya Muziki wa Bongofleva

Bila kufichai Tasnia ya Muziki hubeba ujumbe na nafasi kubwa Sana katiba jamii husika,

Kinyume chake ikienda tofauti basi hiyo jamii huathirika kwa namna moja au nyingine, mfano bongo fleva imewahalibu vijana wengi wanaoufwatilia washindwe kujitambua wao ni kina nani na wananafasi gani hapa duniani.

yaani niseme wapowapo tu, hawajui haki zao wala thamani yao,ndiyo maana wamegeuka kuwa chawa wa Viongozi na watawala.

Huwezi kufananisha na kizazi kinachosikiliza reggae kwani wanazijua haki zao na wanajitambu kutokana na mashairi kwani mara nyingi yanapingana na selikali kandamizi na dhalimu
Wasikiliza reggae bwanaaa 😂😂😂😂😂
 
Usituletee hasira zako hapa,
Wewe ambae husikilizi Bongo freva umefanya kipi cha maana sana?
Umegundua nini?
Umeunda nini?
Maisha yamekupiga umekosa ubunifu unatafuta vitu vya kutolea hasira..😁

Kwamba watu wakiacha kuimba na kusikiliza bongo freva ndio CCM itatoka madarakani?

Mbona walokole wanasikiliza na kucheza utamu wa Yesu na wanamaisha magumu na waswali suni si kuna kaswida mbona wanavaa kanzu na kobazi zilizochoka na hawana maisha?

Ajabu waimba Bongo freva wengi wamekuzidi maisha parefu na wasikilizaji wengi wamekuzidi pia what the FVC fun!

Umekuja umelewa hapa!
😁😁
huna akili
 
Chanzo cha Yote... siku hizi Nyimbo HAZITUNGWI bali ZINAWAZWA.
 
Kwa kukusaidia tu, ngoja nikupe code kidogo, niliondoka nyumbani nikiwa na miaka 18 bila kuaga wazazi, niritoroka baada tu ya kumaliza form four,kipindi hicho kulikuwa na simu za mezani tu, nililudi nyumbani baada ya miaka 3 nikiwa na Dora 10,000 kipindi hicho dora ilikuwa ya kichwa kidogo, siyo Kama Zach sasa hivi za Vichwa Vikubwa na rate yake kwa Tshilings ilikuwa sawa na 650,sijui kama unanipata lakini, ngoja niishie hapo lengo langu halikuwa hilo,usipende kuwazalau watu usiyowajua,na anayejua maisha huwa hamzarau mtu,sababu yawezekana unayemzarau ndiye akaja kuwa Masada kwako, tunapata kwa kuwa na nidhamu ya maisha siyo kwa akili zetu, na tunafirisika kwa kutokuwa na nidhamu na kiburi pia
Umsaidie nani wewe masikini kuandika kwenyewe shida peleka njaa zako huko unatamka hela Kwa maandishi unafikiri nani atakuelewa onyesha account Yako ya pesa kama Mimi kijana nilivyokuonyesha eti usimdharau mtu wewe ili li uzi lako si umelileta hapa ili udharau harakati za vijana jinga kabisa wewe njaa inakusumbua akili onyesha account Yako yenye hata 1 million tu sio unatupigia kelele hapa
 
Kwani umelazimishwa kusikiliza mziki? Af em niongeze sauti kwenye sabufa nisikilize mtoto kautaka by Jaivah! Aweeh!
 
Umsaidie nani wewe masikini kuandika kwenyewe shida peleka njaa zako huko unatamka hela Kwa maandishi unafikiri nani atakuelewa onyesha account Yako ya pesa kama Mimi kijana nilivyokuonyesha eti usimdharau mtu wewe ili li uzi lako si umelileta hapa ili udharau harakati za vijana jinga kabisa wewe njaa inakusumbua akili onyesha account Yako yenye hata 1 million tu sio unatupigia kelele hapa
Dogo ukikaa sana inje ya Tanzania kwa miaka mingi lazima upoteze capacity ya kuandika lugha yako mama,sababu unakuwa unaingiza lugha ngeni ya inchi husika ulipo,kwa tarifa yako huko kwenye wajinga waliojaa kama wewe huwa nakuja tu kutembea na kuondoka,nilishahama bongo toka kipindi cha utawala wa mkapa sta ovir voće marucu
 
Onyesha account mzee kelele za nini masikini wewe unaleta kelele nyingi onyesha vibunda bila kuonyeshz vibunda yote unayoongea ni uongoooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
😂😂😂 Mzee asa unatambia gari za wasanii me nikajua lako
Look how stupid you are
Acha ujinga wewe unanijua Maisha yangu halisi?
Hapa tupo na fake I'ds budda,
Hata ningekua na Lamosine nisingetambia gari langu sababu watu wenye makasiriko hua hamwishiwi Tashwishwi!
😁😁
 
Usituletee hasira zako hapa,
Wewe ambae husikilizi Bongo freva umefanya kipi cha maana sana?
Umegundua nini?
Umeunda nini?
Maisha yamekupiga umekosa ubunifu unatafuta vitu vya kutolea hasira..😁

Kwamba watu wakiacha kuimba na kusikiliza bongo freva ndio CCM itatoka madarakani?

Mbona walokole wanasikiliza na kucheza utamu wa Yesu na wanamaisha magumu na waswali suni si kuna kaswida mbona wanavaa kanzu na kobazi zilizochoka na hawana maisha?

Ajabu waimba Bongo freva wengi wamekuzidi maisha parefu na wasikilizaji wengi wamekuzidi pia what the FVC fun!

Umekuja umelewa hapa!
😁😁

Siyo "freva" ni "fleva"
 
Nchi imejaa watu wenye hasira lakini mama ye anaupiga mwingi peke yake bila kitoa pasi. Nyinyi watu mimi nimeshawasehe
 
Onyesha account mzee kelele za nini masikini wewe unaleta kelele nyingi onyesha vibunda bila kuonyeshz vibunda yote unayoongea ni uongoooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa sijui unataka nionyeshe hera ya aina gani? Maana siyo hera zote zinaringana,ingawa nakupa pole kwa ushamba wako,maana kuna hera zingine ni sawa na Madafu
 
Back
Top Bottom