Kwa kukusaidia tu, ngoja nikupe code kidogo, niliondoka nyumbani nikiwa na miaka 18 bila kuaga wazazi, niritoroka baada tu ya kumaliza form four,kipindi hicho kulikuwa na simu za mezani tu, nililudi nyumbani baada ya miaka 3 nikiwa na Dora 10,000 kipindi hicho dora ilikuwa ya kichwa kidogo, siyo Kama Zach sasa hivi za Vichwa Vikubwa na rate yake kwa Tshilings ilikuwa sawa na 650,sijui kama unanipata lakini, ngoja niishie hapo lengo langu halikuwa hilo,usipende kuwazalau watu usiyowajua,na anayejua maisha huwa hamzarau mtu,sababu yawezekana unayemzarau ndiye akaja kuwa Masada kwako, tunapata kwa kuwa na nidhamu ya maisha siyo kwa akili zetu, na tunafirisika kwa kutokuwa na nidhamu na kiburi pia