Kwa hiyo wewe umeacha kupambana na hali yako unaenda ku nyapia nyapia ya mwenzako
Bi Sandra amewa unfollow ukoo mzima wa Zari.
Duh!!!mwache amuondoe tu maana mtoto wa tandale ana mambo ya kishoga sana uyo na ndio anapotea ivyo kwa ajili ya uboya wake
Uswahilini mada kubwa ni kujadili watoto wazuri tu. Kwanza hata wao hujipitishapitisha ili mradi mwanaume rijali asisimke achukue hatua!JF raha sana
Ukitaka habari za kukera utapata
Za kufurahisha utapata
Za kuumiza kichwa utapata n.k
Hivi Zari alitegemea kufuga Kunguru?
Diamond ni Mtoto wa Uswahilini kwa maana ya uswahilini, Damu inachemka, pesa anayo, Nyege anazo akae nazoooo tu anapiga nyeto asubiri siku Zari anakuja Tanzania au Daimond aende South Africa na Watoto wote Warembo waliojazana Mjini!
Mie nikimtazama Huyo Hamisa Mabeto Mwenyewe na sema Mwacheni Domo ateleze BANAAA toto toto Mashallah
Woyoooooooooooo Mimi mwenyewe team mondiii sasa hvNawashangaa sana wanaume wanaomlaumu Mondi. Kwanza Zari ndo atakosa pa kujishkiza ila muhuni Mondi bado damu inachemka sanasana ndo atagombaniwa na maduu kibao. Wengine wanasema eti ndo anapotea kwenye game wakati ndo kwanza kina Dj Khalid wanamtupia jicho ... Hebu tusubiri tuone
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hii App ya Insta na mimi ni Pamba na Moto huko kilakitu kufollow usijambe follow usijikune Follow yaani hayaishi kufatanafatana tu.ni Umbea kwenda mbele.unakuta jitu zima lizabizabina daah kweli hawa wazungu mungu anawaona
Una akili sanaaaaAnapotea kwa ajili ya kuwa unfollowed na Zari, au?!
Hivi unafahamu wakati Zari anaanza mahusiano na Diamond alikuwa na followers chini ya laki 2? Lakini baada ya kuwa na Diamond, namba ya followers ikaanza ku-shoot kwa kasi ya kutisha kiasi kwamba akamzidi hata Wema ambae ndie alikuwa anafuatia kwa kuwa na followers wengi!!!
Hivi unaweza kutuambia ni nini kinachofanywa na Zari hadi aendelee kuwa midomoni kama sio uhusiano wake na Diamond?!
Wakati wa sakata na Wema mlikuwa mnasema hivyo hivyo lakini wapi!!!
Heading ya Thread inahusu habari ya Zari na Diamond Wewe uliifungua ukitegemea utakuta Mambo ya Mkukuta na Mkurabita au report za Makinikia?Braza na wewe ni sekand waifu wa domo mbona mnatuletea mambo ya facebook humu? Tuheshimianeni bana
Hasira za kimapenzi hizo! Subiri watarudiana tuSafi kabisa.
Am with zari