Hiki ndicho alichopost Zari baada ya Diamond Kukiri mtoto wa Hamisa ni wake!!



Kutupiwa jicho sio kufanikiwa wakina davido na wiz kid wamekutana nao hao sana tu nn kimetokea? Mwafrika aliepaweza pale usa ni akon tu
 
Sijaombea waachane but dai lazima apate cha mtema kuni.

Am with zari
Nakubaliana nawewe hasa ambapo Dai hajakomaa kiume bado mvulana! Angalikuwa amekomaa kiume asingemwaga yote yale we are polygamist and the only tool we use is administration. Atabondwa kote
 
Ndugu hujui nguvu za mwanamke hasa akikuzidi umri cc Numbisa
 
Anajisumbua ukiona mond amekaa kimya jua ameamua piga chini akija ibuka ana demu mwingine mkali kama ilivyotokea kwa wema.
Ambwaga mond team yake ikafurahi wakadai atafulia mond akapiga kimya kushtuka kaibuka na zari watu hawaamini mara team ikaanza weweseka na kuongea over yeye ndiye kamdump wema.
Sa ngoha zari ajifanye nataka sitaka mtoto wa tandale yule hana maana ataibuka na kifaa ambacho zari atajiona bora angeendelea komaa
 
Kwl asee kani unfollow na mm cjui anafikiri m ndo mshauri wa kajamaa kake?bt ntajitahidi kumtafuta nimuulizie na mrejesho ntakuleteeni humuhumu
 
Hakuna kitu kama hicho wema na wapambe na nguvu zake zote plus ma ex wote wa diamond na wapambe wao wameshindwa kumshusha na dua zao aje kuwa zari huyu?
Mchepuko na mwanamke uliyezaa naye huwezi kuwalinganisha. Aidha mwanamke unayeishi naye kama Zari na Dai ni wa kuogopwa ndo maana alisema nipo tayari kutembea kwa magoti toka Dar hadi Sauzi ili nimuombe msamaha. Hapo ndipo alimpa kichwa Zari
 
Mchepuko na mwanamke uliyezaa naye huwezi kuwalinganisha. Aidha mwanamke unayeishi naye kama Zari na Dai ni wa kuogopwa ndo maana alisema nipo tayari kutembea kwa magoti toka Dar hadi Sauzi ili nimuombe msamaha. Hapo ndipo alimpa kichwa Zari
Hakuna kitu kama hicho wangapi wamezarishwa tena kwa ndoa kabisa wakaachana.
Faiza alikuwa anaishi na sugu na wakazaa akapiga kelele lakini wapi sugu anasonfa tu.
Hizi kelele zitapita na atakayesahaulika ni zari maana diamond ndiye kampa umaarufu zari wala siyo zari kumpa umaarufu diamond.
 
Hivi unaweza linganisha Zari na Mke wa Sugu! Nasepa
 
Hivi unaweza linganisha Zari na Mke wa Sugu! Nasepa
Zari hana ubavu wa kumshusha mond. Umaarufu wa zari umetokana na mond zari nje ya mond hana umaarufu huo.
Thou zari mimi nimemfahamu 2009 kipindi hicho na yeye anaimba eti, lakini hakuwahi kuwa maarufu kama alivyoanza date na mond.
 
Am such an early morning person as some can see on my snap, usually up by 5am. Let's start this day on a different note, shall we Ladies and gentlemen I've heard you loud and clear, the advises, the consolation, the pity, the hurt you feeling on my behalf most of all the betrayal. But let's look at this on the positive side. When a person chooses to cheat on you it's not YOU actually its THEM which usually turns out that they played themselves while they thought they are playing you. You should never look down on yourself, don't ever think you are worthless because of another person's mistake & never blame yourself. But always look at how to pick yourself up and get going. That said, with my birthday approaching let's put all this negative energy behind us and appreciate, LIFE!
 
Lugha tatizo no problem, hii thread ntaitumia kuwekea updates za ubuyu wote wa zari.
 
Niko upande wa zari na wewe mtoa mada leta maubuyu yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…