Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,271
- 5,617
usichofahamu ni kuwa hao hao mastaa ndio wanaotaka sisi tuwafatilie.. mbona hatuwafatifati wakina hemedyphd? diamond nafamilia yake wanataka wenyewe kufatiliwahiki ndicho wabongo wanachokiweza kuchokonoa na kufuatilia life za watu. Naipenda tanzania kwa hili tumebarikiwa kwa umbea tuu, hatujambo katika hili. Yaani tunafikia hatua ya kumchagulia mtu wakumpenda hatari sana.
Ila tuu mjue Diamond ni muislamu na dini inaruhusu hata Wema na Mobeto wote wakitaka wanaweza kuolewa na Mondi