Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,268
hiki ndicho wabongo wanachokiweza kuchokonoa na kufuatilia life za watu. Naipenda tanzania kwa hili tumebarikiwa kwa umbea tuu, hatujambo katika hili. Yaani tunafikia hatua ya kumchagulia mtu wakumpenda hatari sana.Huyo zari angekua levels asingekuja kutafuta umaarufu Bongo tena kwa mond ,Asingeshare na huyo Hamisa anaemuita Cheap ass.....
Maboss lady hawawi hivo,atulie tu hamisa amvue nguo hadharani,na inavoonekana hamisa anaingia madale muda wowote hana kizuizi maana kuna video ana mimba kubwa kabisa ya miezi kama 8 au9....
atulie hamisa atushushie mahiroshima😛😛😛😛 ili wanaume wengine waone mfano wasikatae watoto zao
Ila tuu mjue Diamond ni muislamu na dini inaruhusu hata Wema na Mobeto wote wakitaka wanaweza kuolewa na Mondi