Ni ukweli, ukiwa tegemezi kwa mwanaume mkiachana unaweza kufa kwa machungu, ila ukiwa independent mkiachana leo asubuhi unaendelea na mambo yako, ndio maana huwa sitaki hata mia ya mwanaume labda anipe kwa raha zake ili ukinichosha dakika hio nikunawe
Namuonea huruma hamisa, marafiki zake kina dillish,Jackiegarade etc wanamiliki biashara, wanafanya vitu vinaeleweka, hamisa ulitakiwa uwe unaown projects zako ila hio akili huna,na mama yako nae inaonekana mnasubiria hela ya kudanga mama nae anapenda mambo makubwa..
Kwanini unakubali kuzaa na domo, kama mtoto wa kiume tayari anaye yani hakuna jipya ulilolifanya, unamkomoa zari kwani alikukosea nini? Mimi ningekuwa wewe ni kumchuna tu mondi lakini kuzaa nae big no, kumbuka atakuja mwingine kumzalia domo, unajiongezea watoto wenye baba tofauti, Hamisa ni mzuri ila bahati mbaya kichwani Mungu alikunyima akili...hivyo unatumia akili za chini kuwaza about your future
I pity you.....